Najuta sana

Lakini huyo mzee yote hayo alifanya ili iweje?!,kwahiyo hao mabinti zake watazeekea hapo nyumban
 
Ooh acha niliangalie hili..
Mke wa mtu ni mtamu ila ni hatari sana. Kuna mmoja baada ya kumla, nikacha mazoea kbsa. Na sijatamfuta tangu mwezi wa 4 mwaka 2022. Nishakutana naye ni salamu tu kila mtu na 50 zake.
Unaweza kuhama mji hivi hivi au kufa.
Bora ule demu wa mtu kuliko mke wa mtu. Unatakiwa uende polisi, uwasimulie kila kitu, uwape hela kisha watakusindikiza ukachukue vitu vyako. Ila unatakiwa usimwambie mzee km unaenda maana anaweza kuficha baadhi ya vitu vyako.
Achana na wake za watu. Una bahati, wangekukuta wangekula tigo
 
Lakini huyo mzee yote hayo alifanya ili iweje?!,kwahiyo hao mabinti zake watazeekea hapo nyumban
Mzee ana lengo zuri. Km unataka mke unaenda unaonana na mzee. Unapewa mke
Wale wa shortcut ndiyo wanaona watazekea hapo. Unataka upige na kusepa? Onana na binti, akikubalia unaenda kwa mzee unafuata taratibu zote.
Kwa wale wa kupiga na kusepa, habari mbaya hii
 
Bro to be honest nishawah kua kwenye situation kama yako same situation sema Mimi huyo jamaa alikua hanijui japo ashawah kuniona Kwa mbali sanaa Kwa maelezo nilopewa na mke wake baada ya sakata kutokea nilikuta text moja tu asubuh kijana chunga sanaaa kutembea na wake za watu nitakufanya kitu mbaya sanaa alaf message nyingine ikaingia kijana nakushauri kawah hospitali ukaanze dozi uwe salama daah nikimuangalia Yule demu alivo mzuri na anavyopenda bata nikasema ngoja niwah CTC tu Nile PEP nimetumia PEP kama week hivi zile dawa ni hatar zinachosha sanaa baadae nilikuja kujua ulikua mkwara tu nikaachana nazo niliogopa kiasi lakini nilijiapiza sitokuja kujaribu tena kurudia upuuzi kama huo kwasababu mwisho wake hua ni aibu tu naona jamaa hakuwah kunitafuta tena baada ya hapo japo mke wake bado ananitafuta lakini nashukur nimeweza kuhimili vishawish kiasi Fulani japo sometime nawaza sijui nirudi hahaha ila nikikumbuka Ile message nahisi huu ni mtego nikipata wasaa ntakuja shusha story nzima humu

Litapita na hili kikubwa tulia usifanye maamuzi kimihemko watu husahau we kausha Kwa mwanao kule usirudi tena vitu utanunua tu vingine na vyeti utavipata kikubwa tulia Tu usifanye maamuzi kimihemko
 
Na wewe ilikua kidogo
Heshimu sana mke wa mtu.
Hiyo hali ya kuchapiwa ombea isikukute so sad
 
Yeah bro baada ya hapo nilitubia asee unajua pia wake za watu wanazingua yule demu Mie nilimuuliza relationship ananambia it's complicated daaah nikimuangalia naona mzuri sanaaa nikaona ngoja nijiweke

Ila nilikuja kufahamu vizur Ile kauli inayosema "Jambo lolote lilokatazwa na vitabu vya dini au ethics tu tulizokua nazo hata liwe zuri kiasi gani mwisho wake ni mbaya tu hata kama utakua ni Kwa kuchelewa "
Na wewe ilikua kidogo
Heshimu sana mke wa mtu.
Hiyo hali ya kuchapiwa ombea isikukute so sad
 
Yaaani mkuu katika kitu cha kuogopa ambacho kimezoeleka ni kula mke wa mtu..
Na watu wakipanga kukuzalilisha wana kuzalilisha kweli yani hutoboi..
Sasa yote hayo ya nini kaa nao mbali bora kutafuta wale dada poa 🤓🤓🤓🤓
Mpka sasa umejifunza kitu et
 



Ulikosea kumla mpaka kwenye nyumba ya faza house,hujui watu wametegesha camera ulijachia sana mdigo ukaona umefika
 
Hicho kitu kidogo sana. Una bahati hakukuta mle ndani. Wewe kwa sasa hakuna njia nyingine nzuri zaidi ya kwenda polisi. Kwanza ukienda polisi kwamba unatishiwa,hata yeye hawezi Kusema umemgongea. Pili kesi kama hizo hazipo ksbb hayo ni maamuzi ya mtu mwanamke,kaamua kutumia mwili wake kwa mtu mwingine. Utzuiaje mtu kutumia kiungo chake anachokimiliki atakavyo?. Hakuna kesi hapo. WAHI POLISI
 
Hapo zuga unaumwa,halafu tuma ndugu zako waende Kwa Mzee waseme ndugu yetu anaumwa hivyo hatoweza kuendelea na mkataba wa kupanga nyumbani kwako hivyo tunaomba tusitishe mkataba kwa niaba yake tuchukue vitu vyake turudishe home.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…