Najuta kuwa Mzanzibar.

Najuta kuwa Mzanzibar.

Turufuu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
182
Reaction score
54
Kwa
kinachoendelea bungen kwa wajumbe kutoka Znz leo ukinita Mzanzibari
nachukia, Inakuaje m2 naakili yako ukajibizane na Asha Bakari au Waride. Nasha ngaa Asha bakari mpemba na ana udugu wa damu na maalim Seif wazazi wao ni ndugu mama mmoja baba mmoja, lakin ndie ashadu wa ku2kana wapemba,.
 
Hawajielewi ao nabii Ibrahim alitiwa ndani ya moto na baba ake sembuse ao mimi wananikera sana sijui kama hawana laana
 
Kwa
kinachoendelea bungen kwa wajumbe kutoka Znz leo ukinita Mzanzibari
nachukia, Inakuaje m2 naakili yako ukajibizane na Asha Bakari au Waride. Nasha ngaa Asha bakari mpemba na ana udugu wa damu na maalim Seif wazazi wao ni ndugu mama mmoja baba mmoja, lakin ndie ashadu wa ku2kana wapemba,.
basi kuwa mzanzibara yakhee
 
kaka naomba cv yake huyu mama aliekosa adabu, na personal details zake.
 
Anabwabwaja kwa sababu ya masilahi aliyonayo hana lolote!
 
Kwa
kinachoendelea bungen kwa wajumbe kutoka Znz leo ukinita Mzanzibari
nachukia, Inakuaje m2 naakili yako ukajibizane na Asha Bakari au Waride. Nasha ngaa Asha bakari mpemba na ana udugu wa damu na maalim Seif wazazi wao ni ndugu mama mmoja baba mmoja, lakin ndie ashadu wa ku2kana wapemba,.

nielezee wazee wao udugu wao kvp kwn ht mm maalim seif ni jamaa yng wa karibu na mm ni ccm kindakindaki na wala hatutusiani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom