confess kwa galfriend wako,yeye ndio apime kama ana kifua cha kuolewa na mtu ambaye amesex na dada yake au la,hata kama mtaachana atajua dada yake ni mtu wa aina gani....hivyo atachukua steps kumuepuka in next relationships zake.....ukinyamaza....huyo mdogo mtu atatafuta njia ya kukukomoa kwa kumuacha,kwa kumueleza dada yake yote,na bora umwambie mwenyewe umekiri kosa kuliko kuja kuambiwa na mdogo mtu,atakuchukia milele ..................................mwisho punguza ukware,kama umeshindwa kuona mipaka kati yako na shemeji zako,kesho na keshokutwa utashindwa nini kutoona mipaka kati yako na wanao wa kike????.......acha ufala....tena ulidhamiria kuwa na mahusiano naye kabisaaa kwa kumpima........hilo pepo lishindwe kwa jina la yesu.