Najuta kuwa karibu na shemeji zangu! Nisaidieni

hehehehe! hao wameshaambiana na wewe utakuwa wa wote wa3. NI kama vile dada mmoja kaenda kuwinda na kawaletea nyama wenzie. Hawana hiana hao, watakushea tu.
 
confess kwa galfriend wako,yeye ndio apime kama ana kifua cha kuolewa na mtu ambaye amesex na dada yake au la,hata kama mtaachana atajua dada yake ni mtu wa aina gani....hivyo atachukua steps kumuepuka in next relationships zake.....ukinyamaza....huyo mdogo mtu atatafuta njia ya kukukomoa kwa kumuacha,kwa kumueleza dada yake yote,na bora umwambie mwenyewe umekiri kosa kuliko kuja kuambiwa na mdogo mtu,atakuchukia milele ..................................mwisho punguza ukware,kama umeshindwa kuona mipaka kati yako na shemeji zako,kesho na keshokutwa utashindwa nini kutoona mipaka kati yako na wanao wa kike????.......acha ufala....tena ulidhamiria kuwa na mahusiano naye kabisaaa kwa kumpima........hilo pepo lishindwe kwa jina la yesu.
 
Sor mwambie dem wako co cc.ila huna hubavu kbs aisee hujamtendea haki mdada wa watu.
 
Sorry brother.That sister in law of yours did wound your ego,you should gather yourself and face the consequences of your actions to get it back.
Confessing to your g.f will help you to be in good terms with your conscience and break you free of all the chains binding you to that bad girl.Your words imply that you aint much of a cheating type shit just happened but on the other hand i just cant figure out how you went through all the trouble of testing for H.I.V only to cheat(dont mention that part to your g.f it is damn convicting).
Next time you should think twice or may be thrice before soaking blazing matches in gasoline.Stop entertaining the other sister b'se there is where your weakness is,'not knowing when and where to draw the line before things get out of hand'.
 
Nyie wote hamna ustaarabu,
mapenzi gani kama ya wanyama,
bado mama mkwe naye utam la la tu kwa hiyo tabia yako.
kwani wewe haujasoma hata ukafuta ujinga kidogo, lol.
 
...you're simply a VICTIM there. Tatizo kubwa ulilonalo ni culture inayokudanganya ujisikie kama unawatumia wao, kumbe kiukweli UNATUMIKA bro. Wake up boy!
 
Iam speechless! Unless gf wako yuko tofauti sana na ndugu zake kitabia otherwise wote hawakufai for your future plannings!
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Nakuona huruma sababu ukiwa Kama mwanamme kumfungulia kila mwanamke zipu sio sifa wala sio uwanaume,Bali ni uzembe na kutokujiheshimu, kabla huja hata aanzakwenda kupima HIV ulitakiwa umueleze wazi ajue Kama ww in shemeji yake,huyu binti mshenzi wa tabia na Hana maadili ulitakiwa ww Kama mwanamme ndio ukeme ujinga lakini hapana umejifanya una USO wa mbuzi sasa hakuna tofauti ya wewe na Huyo binti...
 
Hiyo familia ni ya Kisanii na wewe mwenyewe ni bonge ya msanii, u are not serious and determinant. So inabidi ujishangae sana mzee.
 
Ni nini kinatutofautisha binadamu na wanyama ? ni ule utashi wa kupambanua mambo kwamba nifanye nini, wapi, lini, na nani, na kwa namna gani......! sasa wewe kama huwezi kupambanua hadi unakuwa kama kuku,ng'ombe,punda ambao kumla mtu na dada yake sio ishu tukuiteje sasa ?? basi wewe huna tofauti na hawa wanyama!ungekuwa tofauti ungeweza kupambanua na kutoamua kutembea na mtu na dada yake...!una shida kweye ubongo wako (u just follow ur desires and emotions n cant think)
 
Na weweeee!
Uroho umekuponza!kwanini hukusaka mbinu za ku$kwepa huyo binti! Itavuja tu huyo bi dada aweza sahau sim na blabla kama hizo utamiminwa walahi!!

Na itajulikana tuuuuuu
 
Ndio hivo! mi naona kama hata yeye mwenyewe hajawa mature for serious comitment! Kama kweli alitaka kuoa toka mwanzo... inakuaje you have sex with your gf sister??? na amesha kutumia signals zote, ukaziona na kuzitambua, akakuomba aje kwako na ukakubali??? The girl has got some issues, but the guy too. Definitely...
Iam speechless! Unless gf wako yuko tofauti sana na ndugu zake kitabia otherwise wote hawakufai for your future plannings!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom