Najuta kuufahamu mchepuko huu

Najuta kuufahamu mchepuko huu

laplusbelle15;Jamani nyie Wanaume! Mke kuumwa kidogo tuu tayar ticket ya kuchepuka

Tena mkewe kajazia! source;nitonye

Kile kitu cha kati kisikie kwenye masikio, hivi jiulize nguvu waliyonayo wanawake wanaitoa wapi kama sio hicho cha katikati
 
We mamsap wako akiwa hayuko vizuri kidogo tu unachepuka?? Makubwa.... akipata bedrest ya miezi si ndo utaoa kabisa??
 
Kwa nini uchepuke?
tulia na mke wako, ndoa iheshimiwe na watu wote
 
Jiheshimu, jidhamini tulia na mkeo acha kuleta mikosi za karo nyumbani its not fair for your wife and Kidd's think twice and do changes now I mean from this moment unasoma hii sentensi na Mungu akusaidie
 
Weekend hii kidogo nilichepuka ingawa sio kawaida yangu maana mamsapu kidogo hakuwa vizuri hasa kimwili. Basi huku huku nikamsalandia binti mmoja hivi mtaa wa pili naye bila hiyana akawa amekubali, tukakutana maeneo flani hivi ya kugewa tunda la kati hapo ndipo mambo yalipo chafuka.

Mwanaume nikaanza kujaza tairi upepo kupiga pampu kama tano hivi nikaanza kusikia harufu flani isiyo ya kawaida. Nikaanza kufoka mwenyewe yaani hawa jamaa wanaacha karo linajaa namna ile mpaka linatoa harufu mpaka inakuwa kero kwa wateja.

Kumbe bila kujua nilishahamishwa kitambo badala ya kujaza upepo kwenye tairi nimepewa kazi ya kuzibua karo wala hata gloves sijavaa. Ubaya tairi nilikuwa nalijaza upside down yeye akiwa ndiye dereva.

Tuwe makini namichepuko itatuuwa jamani
Pole mzee mwenzangu nitonye maana haya wengi yanatukuta. kuna jamaa yangu mmoja angefurahi sana kama angekutana naye huyo... mchepuko nooooma!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom