NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
Cha ajabu wanadhani kila mwanamme ana babaikia huko kumbe walaa,kujitia aibu tuu..yani utadhani sio zao ni kama wameazima kwa mtu,
Cha ajabu wanadhani kila mwanamme ana babaikia huko kumbe walaa,kujitia aibu tuu..yani utadhani sio zao ni kama wameazima kwa mtu,
Ungekuwa ww ungemhadisia mkeo??
Umejuaje ayupo jf!!
nahisi hata mkeo unamfanyia haya
ha ha ha asanteAsee mbona nmekupenda bure
ha ha ha asante
Inabidi uwe Dada mpenzi
sijaelewa
Duhh wadada sisi jamani!!!
Kumbe ndo mchezo wako ahsante kwa taarifa.
Be my darling Sister
Be my darling Sister
Yani sikuizi hakuna akiba ya uzeeni kabisaaaaaaaaaa unaemsikia kapewa wasichana wengine wanazigawa Tigo kama pipi mpaka kichefuchefu..