pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Hatimaye ile Ndoa iliyovuma sana ya Sakira Patel msichana wa Kihindi na Timothy wekesa aliekuwa house boy wao imevunjika rasmi baada ya Sakira kudai kuwa huyo mumewe alikua akimpiga na kutompatia matibabu.
Hivyo kaamua kurudi kwao kuomba wazazi wamsamehe kwa kutowasikiliza.
Source: BBC
Hivyo kaamua kurudi kwao kuomba wazazi wamsamehe kwa kutowasikiliza.
Source: BBC