Usijute moe junior, walimu mnathawabu kubwa sana mbele ya Mungu, ni mwalimu ambaye amewawezesha hata hao waliokalia viti huko maofisini kufika hapo walipo, ni mwalimu ambaye ametuwezesha sisi wote kuweza kutumia key board na hata kuwa wana JF, ni mwalimu ambaye.................. ni mwalimu............. ni mwalimu. Waalimu ni watu muhimu sana. Kila mtu ajue hapo alipofikia ni kazi ya mwalimu. Ewe mwenyezi Mungu wasimamie walimu wote duniani, pia wape mioyo ya kutambua na huruma hao wenye mamlaka ya kuwasimamia na kuwalipa walimu.