Najuta kusoma degree ya elimu

Najuta kusoma degree ya elimu

lkn pia kwa watumishi wa umma ukiondoa afya,, walimu wanafuata kwa mishahara, lbda kama unataka mshahara mkubwa usifanye kazi serikalini..
 
Matokeo mabovu, matus kwa walimu, kazi kubwa mshahara mkia wa mbuzi, kuishi vijijini kusiko na fursa chanya, maumivu ya 15%, kutokopesheka zaidi ya 7,100,000, kupigwa na wananchi, n. k, n. k.......!! NAJUTA KUWA MWALIMU
Ualimu huu ni noma
 
ifikie hatua walimu tuache kulialia,, 15% siyo mwl tu ni mtumishi yeyote awe wa umma au private ili mradi anadaiwa na heslb.
Huyo mtumishi mwingine anapata hata 1000 ya ziada inapotokea ila sio kwa mwalimu aysee... Tarehe 25 hadi 25 nyingine
 
Nyie Ndio mnasababisha mvua isinyeshe kwa kumkufuru Mungu, yaan hela hiyo unaiona ndogo Wenzako hata nusu ya hiyo hawaioni kwa mwez ww unalalama tena mtandaon, Ifike mahali Walimu mjiheshimu kwani ukilalamika Hapa Ndio Mshahara utaongezeka zaid ya kujizalilisha tu, sijawai kusikia askar akilalama Hapa au daktar Kila kukicha ni walim tu, ni watumish wangapi wanalipwa chini ya hiyo hela unayolalama lkn maisha yanaenda, iko wap ethics za taaluma yako had uje ulaum mtandaon, ulilazimishwa Ukasome hiyo fan, au Ndio ulifeli ukaenda huko. Jiheshimu brother Kaka!!!!!
 
ila walimu kwa kulalamika too much..!!!!
yaan kama sector zingine hazina matatizo vile... eeh tutulie wadau mbona namba tunaisoma sector nyingi..!
 
lkn pia kwa watumishi wa umma ukiondoa afya,, walimu wanafuata kwa mishahara, lbda kama unataka mshahara mkubwa usifanye kazi serikalini..
Maengineer vipi mkuu..??
 
ila walimu kwa kulalamika too much..!!!!
yaan kama sector zingine hazina matatizo vile... eeh tutulie wadau mbona namba tunaisoma sector nyingi..!
of coz matatizo yako sector nyingi bt watu wameamua kutulia,, mm sk moja nilikua nalalamika rafk yangu mmoja anafanya kazi ofsi ya mkuu wa mkoa akaamua kutoa salary slip yake kisha akanambia na mm nitoe yangu nikakuta namzidi mshahara kama 10,000 hivo akanimbia nitulie na maisha, tangu sk hiyo silalamiki.
 
Matokeo mabovu, matus kwa walimu, kazi kubwa mshahara mkia wa mbuzi, kuishi vijijini kusiko na fursa chanya, maumivu ya 15%, kutokopesheka zaidi ya 7,100,000, kupigwa na wananchi, n. k, n. k.......!! NAJUTA KUWA MWALIMU
Fundisha tuition
 
CRYPTO-CURRENCY TANZANIA BITCOIN(BTC)

[emoji95]Bitcoin Ni nini[emoji95].

Bitcoin ni fedha kama zilivyo fedha nyingine kama USD, TSH, KES nk. Hivyo unaweza kutumia Bitcoin kufanya miamala ya kifedha duniani kote kwa gharama nafuu.

[emoji422] Tofauti ya Bitcoin na fedha nyingine za kawaida nikwamba Bitcoin ni kidigitali(Digital Currency/Cryptocurrency).

[emoji422] Tukisema Bitcoin ni Digital Currency tunamaanisha kuwa fedha hii inaonekana kwenye namba tu, na hiyo namba ndio inabeba thamani yake. Mfano ukiwa na salio Tigopesa au M-Pesa ile ni namba tu inayobeba thamani ya pesa..
[emoji422] Kwasasa thamani ya Bitcoin 1 ni sawa na fedha ya Kitanzania 2,500,000TZS.

[emoji422] Kwanini Bitcoin ina thamani kubwa na ni fedha ya kipekee?

[emoji92] Bitcoin hupanda thamani na kuwa ya kipekee kutokana na sifa zifuatazo;

-[emoji762] Fedha hii halimilikiwi na serikali yoyote duniani hivyo huifanya isiathirike na mtikiso wa uchumi duniani.

[emoji762] -Ukitumia fedha hii unajihakikishia uhuru wa faragha kwamaana hakuna mtu yoyote atakayeweza kudukua miamala yako yakifedha sababu kila muamala utakaoufanya unakua na address mpya hivyo inaweka ugumu kufatilia fedha imetoka kwanani na inaenda wapi.

[emoji762] -Gharama ndogo sana za kufanya miamala kwenda sehem yoyote duniani huifanya pesa hii kuwa adimu sana.

[emoji762] -Huwezi kughushi fedha hii, haiwezekani kwa mtu yoyote kutengeneza fedha hii isipokua kwa utaratibu maalum(bitcoin mining).

[emoji167] Haya yote yamewezekana kwa kugulindulika kwa technology mpya duniani iitwayo blockchain technology (digital ledger) daftari la kumbukumbu la kidigitali linalohifadhi miamala (transactions) na kutunza kumbukumbu automatically bila uhitaji mtu wa kati(middle man) .
 
Back
Top Bottom