Najuta kuoa mwanamke mlokole

Pole sana hapo ndio ujue hizi dini zenu ni za kutungwa, sasa hapo huwezi kumpa talaka na kuoa binti mwingine kwa sababu dini yenu hairuhusu hilo. Nakusihi hama dini na usilimu, ukisilimu siku hiyo hiyo ukiitaji mke unaozeshwa na ukiwa unahitaji mke wa pili ruhsa.Hii ndio dini inayofuata Maumbile ya binaadam ambayo Allah ametuletea
 
Sheria ya ndoa imetaja vigezo ambavyo mtu anaweza kudai talaka na kukubaliwa. Kimoja wapo ni ukatili "matrimonial cruelity" hili suala la dini huwa ni kero kubwa katika nyumba hasa umkute mlokole aliyeliwa kama huyu. Fedha zote akipata anapeleka kwa mchungaji, wanakuja kuweka kambi nyumbani kila saa ni mapambio hata muda wa kupunzika hakuna, msosi kanisa linahamia kwako, wanakulazimisha uwafuate na wanasema wewe ni pepo au una mapepo.Lakini issue yako ni tofauti kabisa maana ulimuoa akiwa tayari ni mlokole ni tofauti na yule aliyebadilika akiwa kwako. Kwa maana nyingine umeridhia matatizo unayoyapata na kisheria tunaita matatizo ya kujitakia hayana fidia " VOLENT NON FIT INJURIA"
 
Tatizo wewe ni lipagani unaoa mlokole mtawezana kweli.
Mwenzio anaamini maombi ndo yalimpa tabia njema mpaka ukamnyatia wewe ukijifanya na wewe mlokole.
Anaamini akitoa atabarikiwa na wewe hutaki.

Mimi nilioa mlokole ana miaka 21 umri wake
Siku ya kufunga ndoa nikamkuta ana............Maria,nikamuuliza aliwezaje kushinda na uzuri wake huo? akasema ni maombi tangu hapo hata akikesha huko sina neno maana ananilinda nisipate hata UKIMWI maana jamaa wangemvagaa tu.
 
Pole sana mkuu. Hawa washika ulokole ni shida sana
 
duhhh polee mzee mzima ila but kuna nafasi naona mnaweza kukaa na kupanga mkayamaliza!
Mwanamke ukimsamehe leo akikaa anasahau atarudia tena yaani ni kama inzi unamfukuza kwenye kidonda bado atarudi mpaka umuue ndiyo anaacha mwanamke wa kilokole ni janga tupu! Mimi nahisi wale wachungaji huwa wanawaroga Waumini wao maana hawasikii nyie mnampelekea hela anajenga mahekalu na kununua magari ya kifahari wewe bado unatembela baiskeli ya swiswiswi! Acha nae angalia jinsi ya kumlea mwanao .
 
NILISHAAPA.... KAMWE SIWEZI KUOA MLOKOLE KWENYE MAISHA YANGU...

Hata mamangu mzazi amenikataza hilo...


Labda, narudia tena labda "Abadili dini aje Roman Catholic " Mbali na hapo tupa kule.

Sifa zao hawa:

1. Wana jeuri hawa.
2. Wana hofu ya mchungaji wa kanisa kuliko mume wake, yani ana muheshimu mchungaji kuliko mme wake... Na hapa ndio ntapiga mtu mpaka nitoe taya.
3. Hawa jui malezi ya mama kwa mtoto.
4. Hawana akili za maendeleo, wana waza kufunga naku sali mwanzo wa mwaka mpaka mwsho.


Nili wai kua na girlfriend mlokole... Bora tuli achana aisee... Headache tupu.
 
Mwanamke mpumbavu, huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Acha kuiga akil za kizungu, kwa waafrika mke akileta kimdomo ruksa kumpiga vikofi vichache ili kumkumbusha kutii amri halali ya mume wake. Mm napinga kumpiga mke kikatili had akavimba au kutoka dam

Tabia ya kupiga inaashiria ukosefu wa ustaarabu, ni dalili ya udhaifu, ujinga na ushamba. Unapoamua kumpiga mwanamke mara nyingi ni matokeo ya kushindwa kujenga hoja bila ugomvi ili ueleweke au yawezekana kuna jambo wewe unalipinga lkutoka kwake akini kwa kuwa huna hoja za nguvu za jinsi ya kukabiliana na hoja zake (udhaifu, ujinga) ndipo unakasirika na kwa kuwa wewe ni 'mwanaume' na una 'nguvu' unajikuta kuanza kupiga.

Je nawe ukikosea upigwe? au ukitofautiana hoja na mwingine upigwe?
Dunia inabadilika, maisha yanabadilika, ndugu yangu nawe badilika!
 
Pole sana kaka sipingani na wewe hata kidogo coz nimeona haya mambo pia kwa watu kadha wa kadha nilio nao karibu

Siku hizi makanisa yamekuwa janga,tena bora wa kwako ana kazi yake wengine ni mke anapewa pesa ya tumizi na mumewe ila inaishia kwa mchungaji sio sawa kwa kweli

Plus kila kitu lazima kiwe na kiasi na hata maandiko yenyewe yanasema asiyejali wa kwake ni mbaya kuliko asiyeamini so hata dini inatambua kuwa mtu anapaswa kuwajbika kwa ajili ya familia yake

Ulikosea kitu kimoja tu kumpiga basi ungemwachaga tu kimya kimya unaweza ukakuta unaua kwa mtu ambaye kashakuwa addicted sikio la kufa.
 
Ndg mpe mkakati wako unavyotaka kuishi, kama ataweza, kakishindwa mwambie akaolewe na kabisa, mshahara uuone mpangie sadaka
 
Pole Baba wewe unapita njia kama yangu mimi mme anaweza kunitenga mwaka eti mtumishi wa Mungu, hata Siku akija kunitembelea nyumban analala sebuleni anaomba tunaweza kukaa hata mwaka hajanigusa maana amehamia mkoa mwingine anajiita mchungaji sipewi hata sh 10 anajifanya anajenga makanisa Sijui mchungaji napata tabu hadi nimeanza kujisugua na vidole kwenye k hadi namaliza maana sina jinsi.
 
Mchango mtamu sana huku
 
Ana bwana wake huko na hamuachi kamwe! Mbona hii ndio kesi ya kwanza kusikia na walokole wapo kibao tu
 
Sina kumbukumbu vizuri ya mwaka 2008 au 9 nilikuwa na mahusiano na mtoto mmoja alikuwa anasali kwa Kakobe.

Kila mwanzo wa mwaka walikuwa wanafanya declaration ya mapato, salary slips, bank statements ni lazima upeleke.

Unajaza mpaka kipengele cha unapewa ngapi na mpenzi, wazazi na zawadi gani kutoka kwa nani.

Tulikuja kuachana baada ya mambo kuanza kulinda nguzo za umeme zisipitishwee
 
Pole ILA mkiambiwa muoe mke wa Pili na watu na wanne mnaona Mungu kakosea. Huyo ungemuacha na maombi halafu unaoa mke wa Pili maisha yanaendelea. Hukua na haja ya kumpiga. Ona sasa ushavuruga alichokiunganisha Mungu. Hakuna kitu kibaya cha halali kama talaka. Huwa inakuwaga the very last option baada ya kufuata hatua mbali mbali ngum sana.
 
Kaka wewe mlee mtoto wako huyo achana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…