Najuta kumwambia ukweli.

Najuta kumwambia ukweli.

mbukoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
523
Reaction score
553
Hello wanajamvi.
Kwa kweli ukweli na uwazi ni kitu kizuri katika mahusiano kwani kinajenga hisia za kuaminiana na kuwa huru kwa kila mmoja (Ni fikra zangu).
Back to the topic: Niko kwenye uhusiano na mwanamke ninayempenda sana na ambaye natamani ikimpendeza Mungu nimuoe. Huyo mrembo wangu hatujawahi kugegedana na hatuna mpango wa kufanya hivyo hadi tutakapofunga ndoa na sababu kubwa ya kuwa na maamuzi haya ni imani yetu kutokuruhusu na sisi tumechagua kumcha Mungu. Sasa huyu dada amekuwa akitaka kujua taarifa za mahusiano yangu ya siku zilizopita kabla hatujakutana na lengo kuu (kama anavyosema ni kuijua misingi yangu ya kimahusiano) na msisitizo wake mkubwa ni kutaka kujua kama huko nyuma niligegeda au sikugegeda. Mwanzoni nilimdanganya kidogo kuepusha matatizo ila jana katika story akauliza tena na nikajikuta nampa ukweli wote kwamba niliwahi kugegeda wasichana wawili niliokuwa nao kwenye uhusiano. Taarifa hizi zimemkwaza sana na mpaka sasa anadai hana amani kabisa na mimi jambo linaloninyima raha kwani kwa hakika hako ka tabia nilisha kaacha zamani na sina mpango wa kukarudia kabisa, ninampenda yeye peke yake na kwa sasa nina kusudio imara la kutokutenda hiyo dhambi.
nimwemwomba msamaha kwa kutokumweleza ukweli mwanzoni kasema amenisamehe lakini furaha ya awali haijarejea na hilo linaniumiza zaidi. Wadau nafikiria labda nisingemwambia ukweli leo furaha ingeendelea lakini sasa uongo nao dhambi (hata kama niliitenda mwanzoni hilo halinipi uhalali wa kuirudia na sitaki kabisa makosa ya siku zilizopita, nataka kutengeneza usahii sasa na wakati ujao). Nifanye nini kurejesha furaha yetu wapendwa?
Natanguliza shukrani.
 
Huyo nae bhana yaaani wawili tu ndio anune???? She is kidding wallah nakwambia......wapo waliogegeda hadi wakakinai. saaa yeye hivyo viwilivtu anamaindi nini? au pengine yeye kagegedwa na wengi zaidi sasa anaona nouma kuwa the same qns will come to her and she is obliged to tell the truth. Saaa Mpwa akisema aligegedwa na kama timu ya mpira itakuaje? Vuta subira kwanza
 
Jambo zuri nikuwa umesema ukweli na huo ukweli umekuweka huru,

Amini kuwa ataumia kwa muda tu kisha atakuamini tena na tena, ilimradi anajua kuwa wampenda, anakupenda, mwapendana!
 
Alitaka umwambie hukuwahi kugegeda? Je yeye ni bikra? Kama ni bikra hapo sawa kukosa furaha lakini kama njia ilishafunguliwa huyo hana jipya acha asiwe na furaha.
 
Hello wanajamvi.
Kwa kweli ukweli na uwazi ni kitu kizuri katika mahusiano kwani kinajenga hisia za kuaminiana na kuwa huru kwa kila mmoja (Ni fikra zangu).
Back to the topic: Niko kwenye uhusiano na mwanamke ninayempenda sana na ambaye natamani ikimpendeza Mungu nimuoe. Huyo mrembo wangu hatujawahi kugegedana na hatuna mpango wa kufanya hivyo hadi tutakapofunga ndoa na sababu kubwa ya kuwa na maamuzi haya ni imani yetu kutokuruhusu na sisi tumechagua kumcha Mungu. Sasa huyu dada amekuwa akitaka kujua taarifa za mahusiano yangu ya siku zilizopita kabla hatujakutana na lengo kuu (kama anavyosema ni kuijua misingi yangu ya kimahusiano) na msisitizo wake mkubwa ni kutaka kujua kama huko nyuma niligegeda au sikugegeda. Mwanzoni nilimdanganya kidogo kuepusha matatizo ila jana katika story akauliza tena na nikajikuta nampa ukweli wote kwamba niliwahi kugegeda wasichana wawili niliokuwa nao kwenye uhusiano. Taarifa hizi zimemkwaza sana na mpaka sasa anadai hana amani kabisa na mimi jambo linaloninyima raha kwani kwa hakika hako ka tabia nilisha kaacha zamani na sina mpango wa kukarudia kabisa, ninampenda yeye peke yake na kwa sasa nina kusudio imara la kutokutenda hiyo dhambi.
nimwemwomba msamaha kwa kutokumweleza ukweli mwanzoni kasema amenisamehe lakini furaha ya awali haijarejea na hilo linaniumiza zaidi. Wadau nafikiria labda nisingemwambia ukweli leo furaha ingeendelea lakini sasa uongo nao dhambi (hata kama niliitenda mwanzoni hilo halinipi uhalali wa kuirudia na sitaki kabisa makosa ya siku zilizopita, nataka kutengeneza usahii sasa na wakati ujao). Nifanye nini kurejesha furaha yetu wapendwa?
Natanguliza shukrani.

mwambie ailete kama hataki tupa kule kwani huyo ni muongo bana..
 
hee,huyo nae anataka nn ss?
maadamu umesema ukweli,kuwa na amani,hataki aende,Mungu atakupa mwingine bana
 
Muulize ni mchezo gani ambao watu huingia kwenye mashindano bila mazoezi? Hajui practice makes perfect. Halafu huu mtindo wa kuoana ndio ukajue kama mumeo ni futi moja au tisa, ama mkeo ni pacific ocean i dont buy this idea.
 
Hello wanajamvi.
Kwa kweli ukweli na uwazi ni kitu kizuri katika mahusiano kwani kinajenga hisia za kuaminiana na kuwa huru kwa kila mmoja (Ni fikra zangu).
Back to the topic: Niko kwenye uhusiano na mwanamke ninayempenda sana na ambaye natamani ikimpendeza Mungu nimuoe. Huyo mrembo wangu hatujawahi kugegedana na hatuna mpango wa kufanya hivyo hadi tutakapofunga ndoa na sababu kubwa ya kuwa na maamuzi haya ni imani yetu kutokuruhusu na sisi tumechagua kumcha Mungu. Sasa huyu dada amekuwa akitaka kujua taarifa za mahusiano yangu ya siku zilizopita kabla hatujakutana na lengo kuu (kama anavyosema ni kuijua misingi yangu ya kimahusiano) na msisitizo wake mkubwa ni kutaka kujua kama huko nyuma niligegeda au sikugegeda. Mwanzoni nilimdanganya kidogo kuepusha matatizo ila jana katika story akauliza tena na nikajikuta nampa ukweli wote kwamba niliwahi kugegeda wasichana wawili niliokuwa nao kwenye uhusiano. Taarifa hizi zimemkwaza sana na mpaka sasa anadai hana amani kabisa na mimi jambo linaloninyima raha kwani kwa hakika hako ka tabia nilisha kaacha zamani na sina mpango wa kukarudia kabisa, ninampenda yeye peke yake na kwa sasa nina kusudio imara la kutokutenda hiyo dhambi.
nimwemwomba msamaha kwa kutokumweleza ukweli mwanzoni kasema amenisamehe lakini furaha ya awali haijarejea na hilo linaniumiza zaidi. Wadau nafikiria labda nisingemwambia ukweli leo furaha ingeendelea lakini sasa uongo nao dhambi (hata kama niliitenda mwanzoni hilo halinipi uhalali wa kuirudia na sitaki kabisa makosa ya siku zilizopita, nataka kutengeneza usahii sasa na wakati ujao). Nifanye nini kurejesha furaha yetu wapendwa?
Natanguliza shukrani.
huyu hajakasirika bwana! kaona tu hauna experience kama yeye!!! teh teh!
 
Huyo anayetaka mwanaume bikra naye katoa kali. Inaonekana bado mtoto au hana experience kwenye mahusiano. Anyway, mvumilie akikua ataacha. Kuna knowledge gap nenda naye taratibu.
Nb:Mwanaume/mwanamke ambaye hajawai kuwa kwenye mahusiano ni issue ku-deal naye. Anakuwa na vitu vingi vya kusadikika.
 
kwakuwa utakuwa unatoa ushauri sidhani kama akianza timbwilitimbwili mtakuwa wote mkuu..

Ni kweli sitakuwepo ila pia ni kweli kama yeye amesema ukweli basi mwenzi wake nae awe mkweli.

Kama ameshagegedwa wala sio tatizo sababu uzuri wa mwanamke ni zaidi ya kugegedwa. Asiumie moyo. Kama hajagegedwa basi jamaa ashukuru na ashukuru zaidi
 
Kwani yeye bikira?hajawahi kugegedwa?did u prove that?
 
Nashukuru kwa ushauri nimetulia naona furaha inaanza kurudi taratibu. Ahsante.
 
Back
Top Bottom