Najuta kumuonea huruma na kutembea nae

Duuh pole ila una uhakika n mimba yako?...hebu mwambie akapime ijulikane ina umri gani ...maan huenda aliweka mwingine nawew unataka ubebeshwe mzigo juu kw juu...afu mkuu SKU nyingine uwe unavaa soksi kama huna mpango w kupata kiumbe
 
Kwa mwana mama huyu kwa niliyopitia kwake sina hamu nae, nayakumbuka mauzi yake ya kunikosesha amani kichwani
Kwaio unataka itoa na mimba?, embu kuwa baba huruma kwa huyo mwanao pia
 
Hongera kwa kupachika mimba.
Kwa sasa nimetambua kuwa mbegu zangu si za. Majaribio, ni mara moja tu akaanza kuhisi vibaya muda ule ule. Baada ya wiki mbili amenasa.
 
OFISA:Mtalaka ni mtamu sanaaaaa na utamu wao hua hauishi wala hauchuji naongea kutokana na experience, weye lea mimba tuu ila ndani usimuingize maana km mlipelekana Bakwata na talaka mkapeana yakupasa aolewe upya na aachike ndio umuoe tena ss na hilo tumbo nani atamuoa? la sivyo ukiamua kumrudisha ndani mtakua mnaendelea kuzini km mlivyozini ukampa kitumbo ndiiiiii
 
Ndio maana mm huwa sitombi ma-x...mtu umeachana nae miaka minne unachoenda kupata kipya kitu gani?!
Alichokuwa anakitafuta kakipata hivi mtu usiye kuwa naye karibu kwanini mkae wawili warudiane tu wakalee hiyo mimba hata ndugu watamshangaa wanakusaidia kumbe usiku mwazima taa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…