Kuna clip ingine nilionaga jamaa wapo Gym basi yule mrembo anajifanya ananyanyua light weight, akaja mshkaji akamuiga....heee kwa nyuma akaja Baunsa na kilo kadhaa anabeba wanatambiana nani anamchukua yule dem...basi yule jamaa wa kwanza akatoa wallet limejaa dolari akawa analibeba kama vyuma vizito...hahaaaa dem mwenyewe kanogewa, ikabidi yule baunsa na vyuma vyake ashindwe kung'oa kale kademYaani ni Pesa tu....hakuna wimbo mwingine.....