Najuta kujifunza kuhonga msichana

Najuta kujifunza kuhonga msichana

Acuity

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
391
Reaction score
118
Nilitokea kumpenda demu mmoja,nikavutiwa naye nikamtongoza akakubali. Baada ya kula vitu siku ya kwanza nikanogewa. Nikaamua kumpa simu, smartphone Nokia Lumia TZS 650,000.

Nimekaa naye kama miezi 4 hivi sasa nikila vitu. Juzi nimegundua kuna jamaa anatembea na msichana wangu. Nimeumia sana,nilimkamata kwa text, na akakiri ni boyfriend wake wa zamani lakini akaniahidi kutorudia kwamba ilitokea bahati mabya.

Sijaamini hasa sikuwahi kuhonga msichana zaidi ya sh 10,000 sasa hiyo laki 6 inaniuma sana. Leo kaaga anasafiri lakini hata simu hapokei. Anatuma text tu,hivi sasa ninavyoandika najua yumo analiwa na huyo jamaa. Nimepanga kumnyanganya simu.

Au nifanyeje wanaume wenzangu nipeni ushauri
 
Kwani wakati unamnunulia mliandikishiana mkataba kwamba ukimkuta na mwanamme mwingine umnyang'anye?, na pia alikuomba umnunulie au ni uamuzi wako mwenyewe?. Hiyo ipotozee tu, cha mhimu hujamhonga uhai wako, hapo ndo ungekula hasara.
 
Watu wanahonga mpaka ukuu wa wilaya na wanachapiwa vile vile, wewe kuhonga simu tu unachanganyikiwa!, usikute baada ya kuhonga hiyo simu hujawahi mpatia kitu kingine tena, sasa huyo mwingine katafuta wa kumuwekea vocha kwenye hiyo simu, wanawake siku hizi kuchuna ni carrier kijana.
 
Mjini shule shamba kilimo. Sasa hapo uwe na subira pia busara ikutawale kumbuka maisha ya sasa hakuna mjinga
kila mmoja ana ujanja wake.
 
Kusema ukweli nilimpa simu mwenyewe lakini ndo hivyo ni sawa na kuhonga. Nilidhani atakuwa na mimi pekee yangu. Kinachoniumiza sijawahi kutoa zawadi au kuhonga kitu cha thamani ya zaidi ya sh 10,000. Maumivu yapo hapo. Hadi sasa nahisi hasira kali, nikimkamata kwanza nahisi kumchapa makonde nimnyanganye na simu hata kama hatuna mkataba wa maandishi. Matumizi na vocha namwekea tena vifurushi vya mwezi. Kama ni kumtia nampa dozi ya uhakika hadi na yeye anakubali, sijui pepo gani limeingia
 
Hata uhonge meli kama hujui kumridhisha utachapiwa tu!! Sasa patapicha jamaa linavyomkunja kama kambale vile!! hahahaaa. Mwachie tu simu hiyo cause nawe si ulimaliza haja zako pale? Pumziko ulilopata unaweza kulirudisha?
 
Hahahaha! I must admit this is funny. Hasa pale "najua kabisa analiwa uroda"Ukimpa kitu mtu, maana yake ni kwamba transfer of ownership from giver to receiver commences.

Hii ndio sheria ya ubinadamu "Civilization" ambayo kwayo tunaishi. Hayo ya kunyangányana ndo unataka tuingie kwenye machafuko "anarchy ".On another perspective 650k ni ndogo sana, watu wamehonga wilaya na watu wake wote

Acuity
 
Last edited by a moderator:
bwana weee sio ufutio wa penseli ule kwamba utaisha....

Ha ha ha ha Evelyn Salt..! Labda anadhani lile ni kama shimo la taka.. unavyozidi kutupia taka nalo linajaa..

Ila serious ukitaka kufaidi kwenye mahusiano usijisumbue hata kidogo na simu ya mwenzako.. Mpe nafasi na muonyeshe kwamba unamuamini as long as hajakupa sababu ya kutomuamini..
 
Last edited by a moderator:
Hivi sasa ninavyoandika najua yumo analiwa uroda na huyo jamaa.

Hahahahahahhahaa!! Sorry najua sio vizuri kucheka mwenzio akiwa matatizoni, lakini hii sentensi imenifanya nishindwe kujizui. Pole mkuu mpotezee tu
 
Kuhonga ni karama na kipaji mtu huzaliwa navyo huwezi kujifunza tu.Kuhonga ukubwani angalia usilazimishe fani tuachie wenyewe
 
Pole sana kaka. Hiyo kawaida, usimnyang'anye ni kumbukumbu yake kwako,songa mbele mapenzi hayalazimishwi
 
Mimi nilimkuta wangu live akiliwa na bausa mmoja hivi kwa kula chabo kupitia dirishani geton kwake baada na mdada mmoja shoga yake.

Nilihonga
1. Simu(huawei) 250,000
2. Flatscree 450,000
3. Mtungi wa ges 70,000
4. Pas ya umeme 40,000
5. Extension cable 20,000 nk

Na bado nilisamehe, ila roho iliniuma sana takriban mwezi mzima sina raha
 
Ha ha ha ha Evelyn Salt..! Labda anadhani lile ni kama shimo la taka.. unavyozidi kutupia taka nalo linajaa..

Ila serious ukitaka kufaidi kwenye mahusiano usijisumbue hata kidogo na simu ya mwenzako.. Mpe nafasi na muonyeshe kwamba unamuamini as long as hajakupa sababu ya kutomuamini..

We shemeji wewe mi labda nikatwe mikono ndo nitaacha kuishika
 
Back
Top Bottom