- Thread starter
- #581
Mumeo anayo?Iyo nyumba au banda?
Mumeo anayo?Iyo nyumba au banda?
Unaifahamu nyumba ya nyundo? Jamaa kakomaa hataki tena kukaa mjini.
VIPI AMEKUPA MBINU ZAKE ANAZOPATIA HIZO HELA (MILIONI 3 AU 4) KWA KUTWA MKUU?
Kuna jamaa namjua anapata milion 3 au 4 pee r day kiutani utani tu
Mimi binafsi nalipwa kodi ya nyumba kwa mwezi nimekubaliana na hali halisi ya uchumi na isitoshe Mimi mwenyewe binafsi tangu mwanzo nilikuwa napenda ikiwezekana nilipwe kwa mwezi, kwangu Mimi ni more comfortable kulipwa kwa mwezi.Assumption zako bado siyo sawa, kwani ukikaa sinza na unafanyakazi mjini hutumii mafuta tofauti yake ni ipi? Uhuru wa kuishi kwakona utumwa wa kulipa kodi ni tofauti sana, kwanza hakuna mwenye nyumba anayelipwa kwa mwezi, either mwaka, miezi sita au mitatu, huoni hiyo karaha imeondoka, mwanaume pambana jali chako
NIPE NUMBER YAKO INBOX NIKUPE NJIA UTAIPENDAWakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
View attachment 1259979
NIPE NA MIMI HIYO NJIA MKUU,NIPE NUMBER YAKO INBOX NIKUPE NJIA UTAIPENDA
NIPE NAMAB NAKUPIGIA SASA HIVINIPE NA MIMI HIYO NJIA MKUU,
NATANGULIZA SHUKRANI.
Wapangaji siku hizi wakorofi, mtafikishana Baraza la nyumba, maana ukisubiri apange upite mwezi ndipo akulipe au alipe mwezi mmoja mmoja, utajuta, Hali ni ngumu watakwambia, Ninasomesha, nimefiwa huna habari najenga na mm, basi shida tupu, wapangaji ni kero sana watoto watajisaidia mlangoni kwako, watachungulia TV, Mama akipika Dagaa wenyewe watakaanga k/moto au watapika pilau, hata dirisha la chumbani kwako usiku watakaribia, kaa nao mbali kabisaMimi binafsi nalipwa kodi ya nyumba kwa mwezi nimekubaliana na hali halisi ya uchumi na isitoshe Mimi mwenyewe binafsi tangu mwanzo nilikuwa napenda ikiwezekana nilipwe kwa mwezi, kwangu Mimi ni more comfortable kulipwa kwa mwezi.Pesa za ada za watotp na kuendesha maisha zinapatikana kwenye source nyingine, hii ya kodi ni ya kulinda heshima mjini tu ndio maama kwangu nahitaji kwa mwezi.
NILICHOKIFANYA MIE NILIVYOHAMIA NILIBEBA SIKU YA KWANZA ABILIA NIKWAPA LIFT NDANI YA GARI NIKAWAULIZA WANAOKWENDA KILA SIKU KAZINI NIKAWAPA 2 NA WAWILI WAO WALIKIUWA NA DHARULA TU YA MARA MOJA HIVYO HOA WAWILI NIKAWWAMBIA WACHANGIE PESA YA MAFUTA SEHEMU YA KUPANDA MAGARI 2 KAMA NI 800 NAWATOZA 1000 KAMA 3 1500 HIVYO KAMA UNAPATA 4 KWENDA ITAKUWA 4000 NA KURUDI NINAO WAFANYAKAZI WENZANGU WANAOSHUKA NJIA NAO HUWA WANACHANGIA MAFUTA HIVYO KWA SIKU NAWEZA PATA 7000 AU NANE NIMETENGENEZA KIBUU KWA WIKI SIKOSI KUANZIA 25000-35000 AT LEAST .HIVYO KWA MWEZI LAKI AU 140000 HIVYO UTAKUWA UMETUMIA 60000 TUNIPE NAMAB NAKUPIGIA SASA HIVI
Hiyo Njia ya Bagamoyo nimeipendaNJE YA MADA:
MAPINGA, KEREGE, ZINGA, KIROMO, KITOPENI, UKUNI (MAENEO YALIYOPO BARABARA KUU YA DAR - BAGAMOYO)
NI MAENEO AMBAYO YANAONEKANA KEKI SANA KWA MTU KUMILIKI ARDHI,
NA
HIVYO WATU WENGI KUTOKA DAR ES SALAAM NA MAENEO MENGINE KUMIMINIKA BAGAMOYO KWA WINGI KWENDA KUNUNUA ARDHI (VIWANJA & MASHAMBA).
NOTION HIYO IMEIBUA WIMBI KUBWA LA MATAPELI (WANAOJIITA/KUJIFANYA MADALALI) NA KUPELEKEA WATU WENGI KUTAPELIWA NA MADALALI HUKO,
AMA KWA KUUZIWA MAENEO YASIYOWAHUSU AU KUWAUZIA MAENEO YENYE MIGOGORO,
YAANI UNAKUTA ENEO MOJA WAMEUZIWA WATU 6 TOFAUTI,
NA WOTE WANAZO NYARAKA-
SASA HAPO ZINAANZA KESI MAHAKAMANI SASA-
THE STRONGEST DO SURVIVE,
THE WEAKEST END UP TO PERISH.
UNAPOENDA KUNUNUA ARDHI BAGAMOYO,
KUWA MAKINI SANA-
SANA NA SANA, NA TENA ZAIDI YA SANA!!!
WEKA AKILI YAKO MBELE, KISHA PESA NYUMA,
NA SIO PESA YAKO MBELE, KISHA AKILI NYUMA.
(Kama umemaindi herufi kubwa, unaweza sema nikupe mwongozo).
Hiyo nyumba unauz bei ganipole sana chief, taratibu utapata mteja wa bei nzuri, ukiwa na haraka utauza nyumba kwa bei chee sana hutoweza kukidhi malengo yako
Ushauri huu muhimu sana,watu msiupuuzieNJE YA MADA:
MAPINGA, KEREGE, ZINGA, KIROMO, KITOPENI, UKUNI (MAENEO YALIYOPO BARABARA KUU YA DAR - BAGAMOYO)
NI MAENEO AMBAYO YANAONEKANA KEKI SANA KWA MTU KUMILIKI ARDHI,
NA
HIVYO WATU WENGI KUTOKA DAR ES SALAAM NA MAENEO MENGINE KUMIMINIKA BAGAMOYO KWA WINGI KWENDA KUNUNUA ARDHI (VIWANJA & MASHAMBA).
NOTION HIYO IMEIBUA WIMBI KUBWA LA MATAPELI (WANAOJIITA/KUJIFANYA MADALALI) NA KUPELEKEA WATU WENGI KUTAPELIWA NA MADALALI HUKO,
AMA KWA KUUZIWA MAENEO YASIYOWAHUSU AU KUWAUZIA MAENEO YENYE MIGOGORO,
YAANI UNAKUTA ENEO MOJA WAMEUZIWA WATU 6 TOFAUTI,
NA WOTE WANAZO NYARAKA-
SASA HAPO ZINAANZA KESI MAHAKAMANI SASA-
THE STRONGEST DO SURVIVE,
THE WEAKEST END UP TO PERISH.
UNAPOENDA KUNUNUA ARDHI BAGAMOYO,
KUWA MAKINI SANA-
SANA NA SANA, NA TENA ZAIDI YA SANA!!!
WEKA AKILI YAKO MBELE, KISHA PESA NYUMA,
NA SIO PESA YAKO MBELE, KISHA AKILI NYUMA.
(Kama umemaindi herufi kubwa, unaweza sema nikupe mwongozo).
Huelewi hata kwa bunduki weweKwa hiyo kwa kutokua na gari hautaugua kamwe. Akili za wabongo kama Kamongo. Tunaishi kama digidigi huko maporini
Uza Gari nunua Bajaji wakati wa kuja kazini unabeba abiria na wakati wa kurudi.Week end unafanya biashara na kupeleka watu Kanisani.Huko ujafuga ndege kama kuku n.k?
Zikihama kwa muda ....utaitafuta mwenyewe daladala ama bajaji!!Yaani ukishazoea gari jamani kurudi kwenye daladala inabid wito haswa!