Najuta, huyu binti anataka kunifunga

Najuta, huyu binti anataka kunifunga

Shetani atakupitia tena muende jela,huku unamuacha mkeo watu wanagegeda bila wasiwasi
 
Nadhani muda sahihi uliotakiwa kuomba ushauri hukuomba. Binafsi napenda sana kushauri watu. Lakini wakati mwingine naona bora tu kila mtu atumie akili zake alizopewa na Mungu katika kutatua matatizo yake.
 
Hana mimba huyo, anakutisha na kutaka kukutumia.
 
Tunakufunga Ki ulaiiiiiniii rb yako IPO....we angaika tuu
 
Shetan alikupitia mkaenda wapi mkuu?mbona hujamalizia story ati?
 
Wazima humu? Kuna binti tulikutana nae kwenye mitandao ya kijamii tukiwa kama marafiki wa kawaida hatukuwahi kuingiziana mambo ya kimapenzi siku niliposafiri kikazi nilikua mkoani kwao kwa kua alikua home kwao alikuja mjini tukajuana tukapiga stori sana akaniambia alivyomaliza form 4 alifaulu ila shule aliyopelekwa hakuipenda kwa kua alikua anapatwa patwa na uza uza kwa hiyo yupo tuu home tulipiga stori nyingi nikamwacha aende home...

Baada ya siku mbili alikuja tena kwa pozi na mavazi aliyokuja nayo kiukweli nilipata wakati mgumu sana shetani akanipitia na tamaa ikanishika nikajaribu kurusha ndoano ikanasa tukavunja amri ya sita... sasa akanogewa akawa anaenda na anarudi baada ya siku mbili kiukweli yule binti alinipa stori ya aliyokua anafanya na x wake apo shetani ndiyo akatuingia nikawa nakula tope.. sasa niliporudi Dar baadae akaniambia amenasa ujauzito na hati...

Iliniweka katika wakati mgumu maana aninitisha Ana namba za wife na atamwambia.. badae aliingia fb akaanza kuwaambia dada zangu na kaka mpaka sasa wazazi pia wanajua kiukweli imeniweka katika wakati mgumu sana... sasa hii kali kuniambia kuwa nikae nikijua saa yoyote nitakamatwa na police kwa kua ndugu zake wamesema kua ni mwanafunzi sasa najiuliza huyu miaka 20 na siyo kwamba alikua shule maybe form 3 or 4m 4,

Je hapa wandugu kweli katanifunga? na je nifanyeje maana nipo njia panda mchepuko sirudii tena na wala sitaki hivi videm vya kwenye social network kabisa... huyu shetani alinipitia tuu
Umeangushiwa jumba bovu Mkuu.

Alikuwa anatafuta mtu wa kumpa huo mzigo.
 
Tapeli tu huyo komaa naye, ndo taabu ya kuwa mboga 8, wale watoto wa uswazi huwez singiziwa mimba
 
hutoiona pepo kwanini ule tigo mzee adhabu yako itaanzia duniani
 
Back
Top Bottom