wamkodowenye
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 261
- 294
Wazima humu?
Kuna binti tulikutana nae kwenye mitandao ya kijamii tukiwa kama marafiki wa kawaida hatukuwahi kuingiziana mambo ya kimapenzi siku niliposafiri kikazi nilikuwa mkoani kwao kwa kuwa alikuwa home kwao alikuja mjini tukajuana tukapiga stori sana akaniambia alivyomaliza form 4 alifaulu ila shule aliyopelekwa hakuipenda kwa kua alikua anapatwa patwa na uza uza kwa hiyo yupo tuu home tulipiga stori nyingi nikamwacha aende home.
Baada ya siku mbili alikuja tena kwa pozi na mavazi aliyokuja nayo kiukweli nilipata wakati mgumu sana shetani akanipitia na tamaa ikanishika nikajaribu kurusha ndoano ikanasa tukavunja amri ya sita. Sasa akanogewa akawa anaenda na anarudi baada ya siku mbili kiukweli yule binti alinipa stori ya aliyokua anafanya na x wake apo shetani ndiyo akatuingia nikawa nakula tope. sasa niliporudi Dar baadae akaniambia amenasa ujauzito na hati.
Iliniweka katika wakati mgumu maana aninitisha ana namba za wife na atamwambia badae aliingia Fb akaanza kuwaambia dada zangu na kaka mpaka sasa wazazi pia wanajua kiukweli imeniweka katika wakati mgumu sana. Sasa hii kali kuniambia kuwa nikae nikijua saa yoyote nitakamatwa na police kwa kua ndugu zake wamesema kuwa ni mwanafunzi sasa najiuliza huyu miaka 20 na siyo kwamba alikuwa shule maybe form 3 or 4m 4.
Je hapa wandugu kweli katanifunga? Na je nifanyeje maana nipo njia panda mchepuko sirudii tena na wala sitaki hivi videmu vya kwenye social network kabisa, huyu shetani alinipitia tuu.