Najua wajua ila nataka nikujuze zaidi ya ujuavyo

heartbeats

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
5,762
8,715
najua wajua humu jf wasomi ni wengi ila robo tatu ya wote hawajui kutumia akili zao vizuri -najua wajua ila nataka nikujuze zaidi Tanzania ni nchi yenye viongozi wenye upeo mdogo zaidi wa kufikiri kuliko popote duniani ongeza mengine nataka nijue zaidi
 
Najua wajua kua bangi kua ni dawa za kulevya ijapokua unaipenda lakini haikupendi,
 
najua wajua kwamba wewe ni chizi na muda si mrefu utapelekwa milembe je unataka kujuzwa zaidi?
 
wajua kuwa wewe ni miongoni mwa vichaa watarajiwa...au unataka nikujuze zaidi...?
 
najua wajua humu jf wasomi ni wengi ila robo tatu ya wote hawajui kutumia akili zao vizuri -najua wajua ila nataka nikujuze zaidi Tanzania ni nchi yenye viongozi wenye upeo mdogo zaidi wa kufikiri kuliko popote duniani ongeza mengine nataka nijue zaidi

hapa umeongea ukweli mkuu, wasomi wengi wa JF wanachokijua ni mipasho kama KHADIJA KOPA na si kutumia na kuchangamsha akili zao kujibu hoja zinazotolewa.
 
najua wajua kwa vile umesema JF kuna wasomi ila robo 3 yao hawajui kutumia akili zao vizuri ndo maana wanakushambulia.
 
Najua wajua Israeli ndio taifa linalochukiwa zaidi duniani na majiribio mengi yameshafanyika ya kutaka kulifuta kabisa taifa hilo katika uso wa dunia lakini imeshindikana.
 
najua wajua humu jf wasomi ni wengi ila robo tatu ya wote hawajui kutumia akili zao vizuri -najua wajua ila nataka nikujuze zaidi Tanzania ni nchi yenye viongozi wenye upeo mdogo zaidi wa kufikiri kuliko popote duniani ongeza mengine nataka nijue zaidi

It is only a fool who think he/she is clever than others.Only a fool can think and write like that.I am not saying that you are a FOOL but ,you think you are clever than others here.
 
najua wajua kuwa mjuaji lazima ajuzwe na mjuaji aliyejuzwa na mjuaji aliyejuzwa na mjuaji.................. aliyejuzwa na mm.
 
Najua wajuakuwa robo tatu ya wote wasiojua kutumia akili ndio watachangia mada hii je wataka kujua zaidi heri me sijachangia
 
Najua wajua ila wataka kujua binadamu akianza kujisaidia akiwa mtoto hadi kufikia uzee wake, ukikusanya kinyesi alicho toa hulingana na Tembo mkubwa:

Mwingind anijuze zaidi.
 
Najua wajua Israeli ndio taifa linalochukiwa zaidi duniani na majiribio mengi yameshafanyika ya kutaka kulifuta kabisa taifa hilo katika uso wa dunia lakini imeshindikana.

embu nijuze hadi sasa wameshakufa wa palestine wangapi ?
 
Back
Top Bottom