Hamna kitu hapo,sisi tunapenda mwanamke mwenye nyama hatutaki vimbaumbau
Hizo nyama mnakulaga au
Kwa hiyo na sisi tuwafuate wazungu, au?Picha ya kushoto huyo mzungu ana hate shape hiyo ila sisi ndo inavutia... kulia anapenda shape hiyo ambapo wabongo mmmh si sana
Hamna kitu hapo,sisi tunapenda mwanamke mwenye nyama hatutaki vimbaumbau
Dogo umechelewa sana yale madude yana raha yake usipime..jaribu uone......kwani unapolala ni vimbau mbau vyako unajisikiaje?Binafsi huwa nashangaa sana, yaani utaona mwanamke bwanyenye (dizaini ya sanamu la michellin) akitembea hapa na pale anahema utafikiri kapanda mlima Kilimanjaro anapapatikiwa na wanaume. Je, ni psychological problem ya mwanamme kupenda mtu asiye na shepu au? Kwanza mtu unajisikiaje kulala ama kufanya mapenzi na mtu asiye na shepu?
Binafsi huwa nashangaa sana, yaani utaona mwanamke bwanyenye (dizaini ya sanamu la michellin) akitembea hapa na pale anahema utafikiri kapanda mlima Kilimanjaro anapapatikiwa na wanaume. Je, ni psychological problem ya mwanamme kupenda mtu asiye na shepu au? Kwanza mtu unajisikiaje kulala ama kufanya mapenzi na mtu asiye na shepu?