Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Naelewa hili kwamba lengo lilikuwa ni kuwasaidia Wakenya, lkn ukweli ni kwamba huu mgomo ni wa Kisiasa na hata fujo zilizotokea huko Namanga ni za Kisiasa na zinahusiana kwa namna moja au nyingine na sisi kaumua kutuma Madaktari nchini Kenya, sasa hv vyombo vya Habari vya Kenya vilivyo upande wa Upinzani ambao ndiyo wanaendsha huu mgomo wameamua kuwa anti- Tanzania, ...