Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
@Wote mlionikaribisha.
Nashukuruni kwa upendo wenu wa ajabu... I'll take it back almost the same way you delivered to me.
Sawasawa?
Canta baby nakuhitaji PM sasa hivi...
Majukumu yalibana kidogo, muda wa kuingia JF ukakosekana.
Jumlisha na ile ajali ya mkonga wa mawasiliano kule Mombasa basi ndo visingizio kuzidi. Mtu wenu nimerudi tena, ingawa ushiriki wangu utakuwa umedorora kidogo... Good enough ni kuwa nimeweka avatar yangu ya ukweli kwa wale mloimiss.
Here I Come!
View attachment 48381
My waif kipenzi,Heee!mie mke wa mtu mkuu,km vp ongea na rejao mme wangu mpnz akikubali utanikuta kwa id pm kwa id ya rejao then twaweza chat!
Heee!mie mke wa mtu mkuu,km vp ongea na rejao mme wangu mpnz akikubali utanikuta kwa id pm kwa id ya rejao then twaweza chat!
nashukuru.
Nimesikia ombi la washabiki wangu, sipendi kuwaudhi.
hahaha Dogo umeshaomba uraia manake hapo ni Msomali mtupu
baada ya kusema hayo, karibu jamvini
Acha ujinga wewe....inaoneka hujakua au una upeo mdogo sana!ndo akili ya Kitanzania ilivyo,
ukisemeshwa na mwanaume tu, basi unajua nataka kiungo? Very poor thinking, sasa uke wako kwa RJ na kukuhitaji kwangu kuna uhusiano gani?
Nilitaka kukupa bonge moja la mchongo, ila ushautia nyongo tena...
Umeniudhi kwa kweli!
Ref.post yako ya kumshambulia Canta!nani yuko too serious kati yangu na wewe sasa?
Judge fairly!
ndo akili ya Kitanzania ilivyo,
ukisemeshwa na mwanaume tu, basi unajua nataka kiungo? Very poor thinking, sasa uke wako kwa RJ na kukuhitaji kwangu kuna uhusiano gani?
Nilitaka kukupa bonge moja la mchongo, ila ushautia nyongo tena...
Umeniudhi kwa kweli!
Thanx kwa kuelewa...usijali, hawezi kuwa na kinyongo cuz anajua hapa ni chit chat..hav a nice dayK.
I admit it, mwambie mkeo anisamehe!