Usimtaje nitty kongosho, atajing'ata bana!Niazime hayo meno.
Afu kumbe wewe na Nitty ndo wasumbufu
Jukwaa lilipoa kweli.
Mie nilidhan ushabaniwa
Hehehe! Ongea kwa kinyumbani!Karibu sana,ndo maana nilikuwa sina amani kabisa
Usimtaje nitty kongosho, atajing'ata bana!
Hahaha, yule akili zake zinamtosha peke yake!...bora ajing'ate
kuliko kuwa kama yule kijana wa rombo
aliyeamua kuzifyeka
sababu ya kugombaniwa na wadada
AD ulikuwa fasting? sio mbaya ni kwaresmaAfadhali nimek
uona ntaanza kupumua
Na chakula Labda kitashuka sasa ....
Kweli Erick wewe ni mzee wa makaribisho..huna hiyana,mpaka kuna mtu kakuanzishia uzi wa welcomingWelcome back..
Teh teh jamani huu ndio urithi pekee aliotuachia Mzee Nyerere...tupendane kama ndugu...mi sina tatizo nawakaribisha tu...tehKweli Erick wewe ni mzee wa makaribisho..huna hiyana,mpaka kuna mtu kakuanzishia uzi wa welcoming
AD ulikuwa fasting? sio mbaya ni kwaresma
Niazime hayo meno.
Afu kumbe wewe na Nitty ndo wasumbufu
Jukwaa lilipoa kweli.
Mie nilidhan ushabaniwa
Majukumu yalibana kidogo, muda wa kuingia JF ukakosekana.
Jumlisha na ile ajali ya mkonga wa mawasiliano kule Mombasa basi ndo visingizio kuzidi. Mtu wenu nimerudi tena, ingawa ushiriki wangu utakuwa umedorora kidogo... Good enough ni kuwa nimeweka avatar yangu ya ukweli kwa wale mloimiss.
Here I Come!
View attachment 48381