chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,568
Huyo mnyama ni mbwa.Kweli nimeamini kuna watu wanaakili hahaah
Hiyo ni mind game ukiangalia hakuna hata mtu mmoja aliyepatia jina la huyo mnyama na ndio dhumuni la kibonzo icho
Ila nimecheka sana
Tembo au tupe jibu
Anatafuta hiyo 10% iliyobakiKama umejua 90% tutakosa kwanini utusumbue kujibu?
Sungura