Najivunia rangi nyeusi

Black is beaty....but this has nothing to do with muzunguz....
 
mzungu sio mnafki akikupenda anakupenda kwa dhati toka moyoni michepuko haina nafasi kwake

hata mimi nilipokuwa sijawahi kujichanganya na kuwafahamu wazungu, nilikuwa nafikiri kama wewe.

Baada ya kuwafahamu vizuri nilitambua kwamba michepuko haihusiani na rangi isipokuwa ni tabia ya mtu tu.
 
Kumbe je? Ulikuwa HUJUI? Waulize wake za wazungu bongo wanavokula BATA hawalimi wala hawavuni, wana SHOP TU! Na kuzaa maybe!

Huyu kweli wa kaskazini .... yupo kimaslahi kwa kila jambo. Weka utu mbele na pesa nyuma..... seek your excellence and success will chase you.
 
kumbe hujichubui kisa wazungu wanapenda weupe. Haya ndugu, nao wakianza kupenda weupe nahisi watu watafata soko linakoelekea. I am proud of my color ndo maana sioni sababu ya kujibadili
 
We! Wacha kupotosha uma! Hiyo dhati ya mzungu inapimwaje? You want to tell us that those skins dont cheat? - prove your statement, unless, we wont understand you!
mzungu sio mnafki akikupenda anakupenda kwa dhati toka moyoni michepuko haina nafasi kwake
 
We! Wacha kupotosha uma! Hiyo dhati ya mzungu inapimwaje? You want to tell us that those skins dont cheat? - prove your statement, unless, we wont understand you!

hahahaha unaweza kumpotosha mtu mzima?????????? mzungu ukimkwaza haweki vitu moyoni so akiona mke wake ana madhaifu atajitahidi kumweka sawa waendane sio kama nyie badala ya kukaa chini msolve tatizo njia kuu mnakimbilia njia za pembeni
 
hata mimi nilipokuwa sijawahi kujichanganya na kuwafahamu wazungu, nilikuwa nafikiri kama wewe.

Baada ya kuwafahamu vizuri nilitambua kwamba michepuko haihusiani na rangi isipokuwa ni tabia ya mtu tu.

sawa nakubali michepuko ni tabia ya mtu lakini duhhhhhhh waafrika mmezidi
 
Tuache utani na nitazidi kusema mimi ni kijana wa kiume mweupe ila ngoz nyeusi ni zaidi ya beauty na ni watamu kupitiliza yaani baada ya bao moja na udenda mwingi unaukuta kwenye shuka. Mbarikiwe sana ngoz nyeusi na mnavutia sana
 
tupo tunaojivunia kuwa weusi, and we love our skin... I will never trade my black color for anything
 
hHHahahahahaha hujawahi kuwaonja raha ya ngoma ingia ucheze usisubiri kuambiwa
Hahaha! Sasa moto+baridi ni sawa na bao moja kuchukua mrefu kufika kileleni ila ngoma zote zikiwa joto raha tupu kileleni haraka kwa wote na furaha nyingi
 
Tuache utani na nitazidi kusema mimi ni kijana wa kiume mweupe ila ngoz nyeusi ni zaidi ya beauty na ni watamu kupitiliza yaani baada ya bao moja na udenda mwingi unaukuta kwenye shuka. Mbarikiwe sana ngoz nyeusi na mnavutia sana

We ni mchina?

Anyway... l am veeeeeeeeeere black and l love it toka moyoni.
Kuna wengine wanaweza kusema they are black and proud of their colour kwasababu walijikuta hivyo, wanajua madhara ya kujichubua ama uchumi hauruhusu ikabidi tu alazimike kuupenda ublack....
l talk a lot... shhh shhhh shhhh nameless...
 
Kula bata inaanzia ngapi? Na wanashop nini na wapi?

Na Faraja anakula bata na kushop?

Kumbe je? Ulikuwa HUJUI? Waulize wake za wazungu bongo wanavokula BATA hawalimi wala hawavuni, wana SHOP TU! Na kuzaa maybe!
 
Mi najivunia weupe wangu hahhhahhha misschagga wapiiiiii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…