Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,143
Kwahyo mkuu umesoma yudom MDUdom ni chuo cha kusukumiza siku ziende, hakuna mwanzafunzi ndoto yake kusoma UDOm. Wengi huangukia UDOM sababu ya matokeo kuwa mabovu
Hata mimi nilipomaliza form 6 nilioata Div 1 ya 8, kozi nukiyokua nataka UD ilikua na ushindani nikaambiwa naweza nisipate hivyo niangalie na vyuo vingine ndio mawazo ya Udom yalipokuja. Japokuwa nilipata




