Najivunia kusoma UDOM

Najivunia kusoma UDOM

Wanazoa zoa div 3,4 😅😅
Mkuu mbona unaweka maneno yasiyo ya kueleweka?

Hivi ulimwengu wa leo unasemea ubora wa chuo kwa kuwaza wanafunzi wanaoenda kusoma?,

Vipi UDSM hawachukui hizo three?
Okay,nikuache,huu ni uwezo wako na mtazamo wako.
 
Ukijiuliza kwanini unakiita hivi,huna sababu ya msingi,ila ulisikia tu watu wanasema hivi,nenda UDOM uone tafiti na vumbuzi mbalimbali.

Sawa,ni chuo cha kata,nenda uone ubora wa chuo cha kata.
Watanzania tuna shida sana.
Hakuna tafiti ya maana UDOM acha kuwa ndezi. Someni tu maisha yaende Ila msitake kuanza kutuongopea hapa.
Hakuna mwanafunzi bright aliyefaulu vizuri sana akaenda kusoma UDOM
 
Mkuu mbona unaweka maneno yasiyo ya kueleweka?

Hivi ulimwengu wa leo unasemea ubora wa chuo kwa kuwaza wanafunzi wanaoenda kusoma?,

Vipi UDSM hawachukui hizo three?
Okay,nikuache,huu ni uwezo wako na mtazamo wako.
Hakuna mwanafunzi aloyeperform vizuri anaenda kusoma UDOM. UDOM ilianzishwa ili kukidhi na wale ambao hawakufanya sana vizuri form 6, wakati huo 2007. Zamani weye Div 3 n abaadhi Div 2 walikua wanakosa nafasi ya kusoma pale UD, ndio ikaja UDOM Kama mkombozi. Ikawa inazoa wote wote
 
Hakuna tafiti ya maana UDOM acha kuwa ndezi. Someni tu maisha yaende Ila msitake kuanza kutuongopea hapa.
Hakuna mwanafunzi bright aliyefaulu vizuri sana akaenda kusoma UDOM
Sasa hizo tafiti za UDSM zimesaidia nini Nchi?,as long as upo Afika we lala,kula na kunya na kusubiri kufa.Afrika uwe na akili asiwe na akili wote ni zero tu.
 
Hakuna mwanafunzi aloyeperform vizuri anaenda kusoma UDOM. UDOM ilianzishwa ili kukidhi na wale ambao hawakufanya sana vizuri form 6, wakati huo 2007. Zamani weye Div 3 n abaadhi Div 2 walikua wanakosa nafasi ya kusoma pale UD, ndio ikaja UDOM Kama mkombozi. Ikawa inazoa wote wote
huo mwaka 2007 kama ulikuwa na division 3 ulikuwa unaweza kusoma UDSM kama utajilipia mwenyewe nina jamaa zangu wengi sana wamesoma mwaka 2007-2010 wakiwa na hizo division 3 but walijilipia.

Ambao walikuwa hawapati nafasi ni ambao walikuwa wanahitaji kulipiwa na bodi ya mikopo.
 
Hii umeitoa wapi mkuu?
Au ni mawazo yako tu?
 
huo mwaka 2007 kama ulikuwa na division 3 ulikuwa unaweza kusoma UDSM kama utajilipia mwenyewe nina jamaa zangu wengi sana wamesoma mwaka 2007-2010 wakiwa na hizo division 3 but walijilipia.

Ambao walikuwa hawapati nafasi ni ambao walikuwa wanahitaji kulipiwa na bodi ya mikopo.
Asante kwa ukweli huu.

Udom ilianzishwa kukidhi mahitaji ya shule nyjngi zilizoanzishwa,haya mambo haya mengine ni mawazo ya watu tu.

Udom tunayosema ubora wake ni mbaya,wahadhiri wengi walitoka udsm,akiwa udsm anatoa graduate wazuri akiwa udom wanakua wabaya,kwa maana hii utaona ni mawazo ya watu wachache tu.
 
Sasa hizo tafiti za UDSM zimesaidia nini Nchi?,as long as upo Afika we lala,kula na kunya na kusubiri kufa.Afrika uwe na akili asiwe na akili wote ni zero tu.
Umeona ulipokimbilia? Ulisifia udom kwa tafiti, baada ya kukubana unakuja kuniuliza tafiti za udsm zimesaidia nini.
Hoja yangu ni kuwa udom ilianzishwa ili wale wanaopata div 3 bao waweze kusoma degree maana UD bila Div 1 na baadhi sana div 2 ya mwanzo ulikuwa huendi
 
huo mwaka 2007 kama ulikuwa na division 3 ulikuwa unaweza kusoma UDSM kama utajilipia mwenyewe nina jamaa zangu wengi sana wamesoma mwaka 2007-2010 wakiwa na hizo division 3 but walijilipia.

Ambao walikuwa hawapati nafasi ni ambao walikuwa wanahitaji kulipiwa na bodi ya mikopo.
Ingekua hivyo basi UD ingefulika, maana Kama wazazi waliweza kulipa ada sekondari milioni 2 wasingeshindwa kulipa ada milion 1.5 ya UD

Kaangalie cutting points za kozi pale UD alafu urudi hapa. Telecom tu bila juu Div 1 ya 5 ulikua hupati nafasi.
 
Asante kwa ukweli huu.

Udom ilianzishwa kukidhi mahitaji ya shule nyjngi zilizoanzishwa,haya mambo haya mengine ni mawazo ya watu tu.

Udom tunayosema ubora wake ni mbaya,wahadhiri wengi walitoka udsm,akiwa udsm anatoa graduate wazuri akiwa udom wanakua wabaya,kwa maana hii utaona ni mawazo ya watu wachache tu.
Udom ni chuo cha kusukumiza siku ziende, hakuna mwanzafunzi ndoto yake kusoma UDOm. Wengi huangukia UDOM sababu ya matokeo kuwa mabovu

Hata mimi nilipomaliza form 6 nilioata Div 1 ya 8, kozi nukiyokua nataka UD ilikua na ushindani nikaambiwa naweza nisipate hivyo niangalie na vyuo vingine ndio mawazo ya Udom yalipokuja. Japokuwa nilipata
 
Hakuna mwanafunzi aloyeperform vizuri anaenda kusoma UDOM. UDOM ilianzishwa ili kukidhi na wale ambao hawakufanya sana vizuri form 6, wakati huo 2007. Zamani weye Div 3 n abaadhi Div 2 walikua wanakosa nafasi ya kusoma pale UD, ndio ikaja UDOM Kama mkombozi. Ikawa inazoa wote wote
Nakubaliana na wewe huwez kuta kipanga wa Div 1.3 mpk 1.7 advance Yuko Udom😅😅 pale wanaanzia Div 3 na 4
 
Watu kama ninyi mnafanya Udom ionekane ya hovyo.

Hivi katika haya uliyoandika mtu anaweza kujua Udom kuna nini bora kuacha vyuo vingine?

Tuwe serious kidogo aisee.
Ukweli ni kwamba usifananishe UDOM na vyuo chakavu vya zamani sana
 
Udom ni chuo cha kusukumiza siku ziende, hakuna mwanzafunzi ndoto yake kusoma UDOm. Wengi huangukia UDOM sababu ya matokeo kuwa mabovu

Hata mimi nilipomaliza form 6 nilioata Div 1 ya 8, kozi nukiyokua nataka UD ilikua na ushindani nikaambiwa naweza nisipate hivyo niangalie na vyuo vingine ndio mawazo ya Udom yalipokuja. Japokuwa nilipata
Poaaa.
Endelea kuamini udsm ni chuo bora.
 
Udom ilianzishwa kukidhi mahitaji ya shule za kata Maana wanaosoma shule za kata Olevel ufaulu wao advance ni mdogo pia so wanakusanywa huko Coed😅😅😅
 
Ila kuna wadada wazuri huku yudom .
Najivunia yudom
 
Back
Top Bottom