Najivunia kusoma UDOM

Najivunia kusoma UDOM

Jamani chuo kinachotoa Bachelor science in statistics ni UDOM kwasababu kinafundisha hadi software.....because mimi ni mojawapo niliyemaliza pale now najivunia
Kama kweli wewe ni graduate kwa maandishi haya basi umetukanisha walimu wako na chuo cha UDOM.

Uneandika kama std 7
 
Jamani chuo kinachotoa Bachelor science in statistics ni UDOM kwasababu kinafundisha hadi software.....because mimi ni mojawapo niliyemaliza pale now najivunia
Siku hizi Udom wako vizuri. Hata ajira za utumishi wahitimu wake wanapita nazo sana. Vyuo vingine ni kama vimesimama sijui shida ni nini.
 
Acha mambo yako mkuu
Unaaibisha chuo chenu ase
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom