Wapi Husninyo mutoto ya Dodoma njoo huku babu yako matatizo yamenizonga.
Arusha one naomba unipe semina elekezi jinsi ya kuwakwapua hawa viumbe.
Mzee bado hujapata tu jamani, nakusubiria ujue bado sijakukagua
Bado! Au we unataka nikupende Lady doctor.
Lady doctor kumbe upole wangu ni tatizo kwangu ? kumbe ndio maana wakasema mpigwe ukileta nyenye nyenye unapigwahahahaaa me nimeshapendwa mwenzio ila kama unahitaji kuchunwa we nipende tu kiroho swaafi!!!!!!!!!
Ukifilisika usiniimbie kama Chimbuvu ila shusha malavu quote kama Arushaone na uwe mpole kama king kan, Slave na Vin Diesel
Lady doctor kumbe upole wangu ni tatizo kwangu ? kumbe ndio maana wakasema mpigwe ukileta nyenye nyenye unapigwa
unapigwa na khanga za kenya au wax za kongohivi ukiniangalia utanipigia wapi, si ndio mwanzo wa kujitafutia matatizo?
hahahaaa me nimeshapendwa mwenzio ila kama unahitaji kuchunwa we nipende tu kiroho swaafi!!!!!!!!!
Ukifilisika usiniimbie kama Chimbuvu ila shusha malavu quote kama Arushaone na uwe mpole kama king kan, Slave na Vin Diesel
Kidogo afadhali.
unapigwa na khanga za kenya au wax za kongo