Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,339
- 8,227
Hii sio sawa hata kidogoAsante kaka shukran , naimani ulifanikiwa ila sisi tunaitumia wechart kulogin na soko la pidou dou kununua vitu online sijui unanielewa lakin
Hii sio sawa hata kidogoAsante kaka shukran , naimani ulifanikiwa ila sisi tunaitumia wechart kulogin na soko la pidou dou kununua vitu online sijui unanielewa lakin
Tunakula maisha huko mjini pinduoduoAsante kaka shukran , naimani ulifanikiwa ila sisi tunaitumia wechart kulogin na soko la pidou dou kununua vitu online sijui unanielewa lakin
Pinduoduo unasafirisha kwa adress ya agent? Au kuna namna ingine?