Najiungaje wechat

Njia rahis fuata hatua stahiki utajoin tumia option unayoona nirahisi kwako sasa ukiwa hapa nakusaidiaje
We hujui tu....
Yaani wanasema bila kuscan basi nitafute mtu ambaye anatumia wechat kisha nimwambie awasiliana na customer care awaambie upumbavu gani sijui.... Nimesahau kidogo.
 
We hujui tu....
Yaani wanasema bila kuscan basi nitafute mtu ambaye anatumia wechat kisha nimwambie awasiliana na customer care awaambie upumbavu gani sijui.... Nimesahau kidogo.
Asante kaka shukran , naimani ulifanikiwa ila sisi tunaitumia wechart kulogin na soko la pidou dou kununua vitu online sijui unanielewa lakin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom