Ndio hivyo kaka kumbe vice versa is so damn true
Tatizo hiyo kula bata na gud times ndo penye utata! Kwa wengne kula bata ni kuzama clubs, ku moka, pombe sana etc
Kwa wengne kula bata n gud times ni kuzama nyumba za ibada, kuskiliza gospel, matembez public area eg. Ufukweni..kupata juicy n some movies!
Sasa uki combine hapo hizo scenario za gud tym utatambua rebels wanapenda kwa sababu gan na wadada wa aina gan? na gud guys wanapenda kwa sababu gan na wadada wa caliber gan?
Bad boys are so good in everything,,, ukimpa mwili wako hujuti na wako really hakuna mambo ya kupretend.
bad boys we force the game ikibidi hata kupiga goli la mkono!!
Kama maradona vile, nimekubali!
and you!!!!!
They say many girls love bad boys!!!
The best man is one with both...damnit!
Asipaone hapa wifi yako!!!
Umenena vyema!
Si kuchanjiwa mkuu ni jinsi ya kucheza na brain zao ukienda kisaint utaishia kupewa mialiko ya kwenda praise and worship but kwa manyang'ao ikifika tu friday nikutoa appointment na location ya viwanja vya kula bata hapo akikubali kutokea mbwa haruki lazima anase.Yaaan kama wamechanjia vile!
donlucchese ulipretend mno mpaka ukapitiliza ukaacha asili yako wakati hukutakiwa kuwa hivyo na ukajikuta umesahau lengo lako lililokupeleka pale
lengo lako lilikuwa sio kuwa mtakatifu sana wakati huo utakatifu huna ilikuwa kuwin na kuchapa na kusepa sasa wewe ukajenga kibanda kabla hata hujajua mbao za kujenga unapata wapi
Kuja kushtuka was too late for you kuna rough guy anajua kucheza karata zake kashawin kilaini
Si kuchanjiwa mkuu ni jinsi ya kucheza na brain zao ukienda kisaint utaishia kupewa mialiko ya kwenda praise and worship but kwa manyang'ao ikifika tu friday nikutoa appointment na location ya viwanja vya kula bata hapo akikubali kutokea mbwa haruki lazima anase.
and you!!!!!
They say many girls love bad boys!!!