Onyix
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 683
- 791
Juzi nilikua kijiji kimoja katika mkoa wa Dodoma. Nikakutana na babu mmoja hivi ni wale wasomi wa kikoloni, alininiona nakunywa maji kwenye chupa ya plastic, nilivyo maliza kunywa nikafunga chupa vizuri ikiwa imeisha maji ndani nikaitupa.. Yule babu aliuliza kwanini baada ya kumaliza kunywa maji uliifunga chupa vizur ndo ukaitupa... Na kwanini hukutupa kifuniko peke yake na chupa ya maji peke yake...!!! Nilikosa jibu la haraka nikamwambia, chupa itapata matumizi muhimu tena kwa mtu mwingine hasa ikiwa na mfuniko wake kuliko ikiwa halina mfuniko. Wadau mnaonaje ustarabu huu..??