bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Habari wanajamvi?
Leo katika kipindi cha Dira ya Dunia wameongelea juu ya habari ya Rais Magufuli kutembelea Rwanda, ofcoz ni jambo jema kutuhabarisha lakini kwa walioangalia habari na kusikiliza kwa umakini muandishi badala ya kuzungumzia ziara kama habari kuu akajaribu kutoa theme ya ari na badala yake akasema "ziara hiyo ni ya kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizi mbili uliokua umepwaya".
Analysis
Naomba I am humbled to declare that there is no any gaining interest on this thread. Lakini kwa chombo kikubwa cha habari tena chenye wahariri wa kitanzania na Kenya n.k ni jambo la kushangaza ambalo mimi naita uchochezi (I accept corrections) kulikua na haja gani kwa mhariri kurusha habari kua "safari ya Magufuli ilikua ni kuimarisha uhusiano uliopwaya"?
Kwanini mhariri hajaona umuhimu wa swala la daraja huko Rusumo na badala yake habari ikawa ya uimarishwaji wa mhusiano? Nilichoona habari hii ilijaa uchochezi kuliko kusifia jitihada zinazofanywa katika kuimarisha uchumi wa nchi zetu hizi.
My take
Wahariri wa kitanzania waliopo katika shirika hili wafanye kazi kwa uweledi kwa maana kufuatia na sakata la MCC inaonuesha kuna nguvu ya ziada kuonyesha Tanzania haijimudu kwa habari ambazo mimi naziita za kipuuzi.
Ifike mahala tujivunie utanzania wetu hata kama mkate wetu wa kila siku utakua matatani na hii ndio proffesionalism mahala popote na ndio uzalendo.
Wewe unaonaje?
Nawasilisha