Kina jesiikaMkuu, hawa ndio ambao waliingia chuo kikuu cha Dodoma kwa bahati mbaya, halafu walipoanza kuchujwa wakadai wanaonewa.
Ni kizazi cha madogo wa Tanzania ya leo hii, ambao ukikutana nao barabarani wamevaa ear phones, wanasikiliza muziki mpaka wanakoswakoswa kugongwa na magari.
Karibu mkuu.Sasa concerns zote JPM anazishuhulikia, unakaa upinzani kufanya nini.Sasa hivi dili ni CCM,vinginevyo utaonekana mwehu tu ukizidi kukaa upinzani.Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.
Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
Karibu mkuu.Sasa concerns zote JPM anazishuhulikia, unakaa upinzani kufanya nini.Sasa hivi dili ni CCM,vinginevyo utaonekana mwehu tu ukizidi kukaa upinzani.
Umesoma alama za nyakati mkuu,hongera sana.Hata Lema kagwaya.Naona kaishiwa pumzi,hana pa kushika.
Kweli wewe ni mgumu wa kuelewa!!Ulikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
Unatafuta kiki kwangu.Kweli wewe ni mgumu wa kuelewa!!
Naona mmevuru(gwana)Ulikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
Ninawezaje kutafuta kiki kwa mtu asiyetumia hata 2% ya ubongo wake kufikiria?Unatafuta kiki kwangu.
Swissme
Sibishane na zwagalaaa.Ninawezaje kutafuta kiki kwa mtu asiyetumia hata 2% ya ubongo wake kufikiria?
Yaani wewe kila kitu ni kukurupuka tu na ndo maana wengi tunakushangaa ulivyokurupuka hapo.
Jitahd uwe unafikiria hata kidogo duu!!!
Hata hivyo sidhani kama wewe una ubongo uliosawa maana unadhid kujidhihirisha tu kila cku humu!!!
Utabishanaje akili huna...!!!Sibishane na zwagalaaa.
Swissme
Mkuu, hukuona jamaa zako wa Ufipa FC walivyokurupuka? Au umeamua kuwa na makengeza?Mazezeta wa Lumumba mnajua sana kukurupuka, wavivu wa kusoma, mkiona vichwa vya habari mnaingia wazima wazima.
Dah,sawa mkuu Mwenyekiti wenu si Ex-Form IV,hayo ndiyo aliyowaridhisha.Muembe hauwezi kuzaa Chungwa!Mazezeta wa Lumumba mnajua sana kukurupuka, wavivu wa kusoma, mkiona vichwa vya habari mnaingia wazima wazima.
Mkuu, hukuona jamaa zako wa Ufipa FC walivyokurupuka? Au umeamua kuwa na makengeza?
Dah,sawa mkuu Mwenyekiti wenu si Ex-Form IV,hayo ndiyo aliyowaridhisha.Muembe hauwezi kuzaa Chungwa!
Kama mimi ni zuzu, sijui wewe ambaye mwalimu wako ni wa kidato utakuwa nani mkuu.Zuzu katika ubora wako.
Kama mimi ni zuzu, sijui wewe ambaye mwalimu wako ni wa kidato utakuwa nani mkuu.
Kumbe? [HASHTAG]#jackass[/HASHTAG]!!Kumbe na wewe ni zezeta tu.
TrappedUlikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme