Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

Mzalendo nch hii ni mmoja tu! Halafu siikosoi CCM kuonesha uzalendo wangu bali kuonesha mtizamo na msimamo wangu kisiasa. Ama umesahau kama hili ni jukwaa la siasa?
 
Kichwa cha habari kilinishitua kidogo, nilipoingia ndani nikakuelewa Ndugu yangu Killewela. Karibu sana. Nakupa kabisa na kata! Miyomboni kitanzini inakufaa. Hawa magamba wametufikisha kwenye umasikini wa kutupwa. Wameishiwa Sera, hawana jipya.
 
Ulikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Hana lolote, alitegemea atapewa tonge, kaona hamna dalili, namba kisha ionja, na anachati wakati watoto hawana debe LA unga
 
Kumbe humu kuna watu husoma kichwa cha habari tu kisha wanacoment badala ya kusoma habari yenyewe, hizi akili zinazoongozwa kwa mihemko ya uvyama vimeathiri uwezo wa kufikiri wa watu wengi sana
 
mkuu heading ilinitisha nkafikiri umesalimu amri kwa mafisadi....
 
tupunguze mikurupuko na mihemko ila pia tujitahidi kuweka heading zisizo na mkanganyiko.
 
Heading ya uzi, jamani nimekuja mbio hadi nimesahau kuvaa japo kandambili. hahhahah. huu uzi watu wasipousoma kwa makini watadhani ndivyo sivyo! hahahahahahahah. Sawa mleta uzi. mie nikuelewa kuliko inavyotakiwa kukuelewa
Hata mie nilishatarajia kuanza kwa kusoma Taarifa kwa Umma! niliposoma content ikabidi nijiulize kuwa mkuu alikuwa ana sababu za msingi kuweka title isiyoendana na maelezo yake.
 
Kweli maisha bila ya unafiki hayaendi.Chadema utaikosoa vichochoroni lakini serikali utaikosoa mitandaoni
 
Heading ya uzi, jamani nimekuja mbio hadi nimesahau kuvaa japo kandambili. hahhahah. huu uzi watu wasipousoma kwa makini watadhani ndivyo sivyo! hahahahahahahah. Sawa mleta uzi. mie nikuelewa kuliko inavyotakiwa kukuelewa

Afadhali umesahau tu kuvaa kanda mbili, na hukusahau vingine!
 
Sikuwahi kujua wala kutarajia kwamba kumbe hapa JF na hata baadhi ya member ambao nawapa heshima kubwa humu ndani kumbe ni mabashite wa hali ya juu, yaani mtu unasoma kichwa tu unakimbia kutoa povu? au ndo kusema kweli mtu umesoma vizuri uzi na umeufanyia tafakuri na bado unaishia kutoa povu. Mfumo mbovu wa elimu yetu umeleta madhara makubwa sana. Hongera mleta uzi kwa kuwaumbua wazembe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…