Promota Member Joined Sep 19, 2014 Posts 17 Reaction score 8 Oct 8, 2014 #1 Naitwa Laurian. Mimi ni mpenzi wa kufanya shughuli mbalimbali kwenye mtandao. Shughuli hizo ni pamoja na ujenzi wa tovuti (website design), uandishi wa makala mbalimbli na biashara za kwenye mtandao (Afffiliate and Network Marketing). Maeneo ninayopenda zaidi ni web design, Social Media Marketing na SEO (Search Engine Optimization) Tovuti zangu binafsi ni pamoja na Home-Based Business Training, Top Wellness Products In Tanzania | Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii na Local Business Marketing In Tanzania - Local Business Marketing In Tanzania. Hobby yangu kubwa ni muziki na kupiga gita. Nategemea kushirikiana na wana JF wote kwa lengo moja kuu la kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu mbele. Naomba mnipokee.
Naitwa Laurian. Mimi ni mpenzi wa kufanya shughuli mbalimbali kwenye mtandao. Shughuli hizo ni pamoja na ujenzi wa tovuti (website design), uandishi wa makala mbalimbli na biashara za kwenye mtandao (Afffiliate and Network Marketing). Maeneo ninayopenda zaidi ni web design, Social Media Marketing na SEO (Search Engine Optimization) Tovuti zangu binafsi ni pamoja na Home-Based Business Training, Top Wellness Products In Tanzania | Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii na Local Business Marketing In Tanzania - Local Business Marketing In Tanzania. Hobby yangu kubwa ni muziki na kupiga gita. Nategemea kushirikiana na wana JF wote kwa lengo moja kuu la kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu mbele. Naomba mnipokee.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Oct 8, 2014 #2 Karibu sana jamvini
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,162 Reaction score 28,806 Oct 8, 2014 #3 Wakaribishwa sana..
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,816 Reaction score 13,772 Oct 9, 2014 #4 Karibu sana jf....
Promota Member Joined Sep 19, 2014 Posts 17 Reaction score 8 Oct 9, 2014 Thread starter #5 Ahsante Otorong'ong'o.
Promota Member Joined Sep 19, 2014 Posts 17 Reaction score 8 Oct 9, 2014 Thread starter #6 Ahsante katavi.
Promota Member Joined Sep 19, 2014 Posts 17 Reaction score 8 Oct 9, 2014 Thread starter #7 Ahsante Ulimakafu.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,327 Reaction score 2,902 Oct 10, 2014 #8 Karibu JF Promota Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Promota Member Joined Sep 19, 2014 Posts 17 Reaction score 8 Oct 11, 2014 Thread starter #9 Ahsanta sana Globu.
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Oct 11, 2014 #10 Karibu sana
Awadh Samuel Kiwelu Senior Member Joined Oct 11, 2014 Posts 192 Reaction score 69 Oct 11, 2014 #11 Karibu jf
Promota Member Joined Sep 19, 2014 Posts 17 Reaction score 8 Oct 15, 2014 Thread starter #12 Ahsante sana Bhululu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,804 Reaction score 110,032 Oct 21, 2014 #13 Karibu sana JF...