Najisikia nenge!

duuuuuuuu ,,kesho narudi home kula vumbi bora vumbi kuliko kukosa haya mambo
 
Kwa wale wenzangu karibuni hili ngama na salo la samaki.
Sure hii ngama ndio iliyotulea tulio wengi, yana miss mandondo tu pale pembeni na mchicha au matembele. Ngoja niamke nikayatafute, kusikia utamuuu, samaki na nazi ni balaa unaweza kujing'ata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…