Hii hali nilikua nayo, huja na kutoweka, lakni toka nimepumzika tungi leo miezi minne hii hali sijasikia TenaJamani mwenye anaejuwa chanzo cha hili anisaidie. Mwenzenu huwa najiskia kupigwa shoti kila ninaposhika kitu chenye asili ya chuma.
Hapo sasa ndio sijui, maana mm niliku mlevi haswamimi sinywi tungi
Why do I keep getting electric shocks off everything I touch, what causes static electricity and is it worse in the cold weather?Jamani mwenye anaejuwa chanzo cha hili anisaidie. Mwenzenu huwa najiskia kupigwa shoti kila ninaposhika kitu chenye asili ya chuma.
mimi pia nilijua nipo peke yangu tu.Kumbe tupo wengi nkajua mimi tu