Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Tunga sentensi
Lamba ndimu au nusa kikwapa kinachonuka...kikizidi muone daktari.
Najisikia kichefuchefu kukoment kwenye hii thread
Ninyi mnaojisikia kichefu chefu mtakuwa mna mimba zangu.
Naskia kichefu chefu nina mimba
The Intelligent amesema wote mnaosikia kichefu chefu mna mimba zake, je ni kweli una mimba yake?
Heeenh ashindweee sio yake
oya tutafutane basi...