Habari wakuu.
Kiukweli nimejisikia fahari sana nilipopitia naira land forum.na kumuona mdau ameanzisha Uzi kuhusu Tanzania.kiukweli ameipamba nchi yetu kwa wema namshukuru sana.tuipende na tuitangaze nchi yetu Tanzania.
Nmependa anavowasifia warembo wetu... ila kiukwel tz tunawarembo wakuu, karibia mikoa mingi imefyatua vitu vya maana nkitizama arusha pale, dar apa, mwnz, bkb si haba