Unawezaje kunywa bia za 3.5 m kwa usiku mmoja..Bora hata umepeleka kwenye nyumba kuliko ungeenda kuhonga. Au kula beer nyingi au vyote kwa pamoja
Unawezaje kunywa bia za 3.5 m kwa usiku mmoja..Bora hata umepeleka kwenye nyumba kuliko ungeenda kuhonga. Au kula beer nyingi au vyote kwa pamoja
InawezekanaUnawezaje kunywa bia za 3.5 m kwa usiku mmoja..
"" Mjomba Ni mama""
Sizungumzii kuhonga hapa hiyo Ni mada nyingine mtambuka..
Ni balaa mkuu,Inawezekana
starehe gharama kuna watu izo ni vijisent tuu nenda kidimbwi uone watu wanavyokula bata!Unawezaje kunywa bia za 3.5 m kwa usiku mmoja..
"" Mjomba Ni mama""
Sizungumzii kuhonga hapa hiyo Ni mada nyingine mtambuka..
Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Wahindi.Wakuu, sometimes nahisi najikosea
Haiwezekani kipindi sina pesa nawaza Mambo ya kuanzisha miradi mbalimbali na kujiwekea mikakati ya kutosha.
Sasa kizungumkuti nizipate napeleka chap kumalizia Nyumba yangu,mfano juzi kati nilibamba mil 3.5 ,chap nikaweka tiles kwenye Nyumba yangu,wakati nilipanga Toka siku nyingi nianzishe mradi wa kuku.
Sasa hivi nimechacha haswaa naanza kufikiria kufikiria kama ningekuwa na miradi nisigechaha namna hii.
Dah,