Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

Hapana wewe ni mzima ila umesahau kiongozi wenu mmoja kwenye kampeni kule arumeru aliwahi kusema kila kitu ni CCM sababu ni rangi ya KIJANI hivyo hicho unachokunya ni kuashiria wewe ni CCM.....usijishangae sana kwani pia ni adhabu yenu ninyi WANAFIKI
 
Mavi ya kijani inaonyesha unakula sana mboga za majani ama sivyo basi kongosho lako limetoboka na haliwezi kuwianisha nyongo kwa viwango stahiki. Ukijani ukizidi mwone daktari.
 
duh pole sana mi nazani mwone dr
 
Yangekuwa mekundu basi wewe ungekuwa Mwekundu wa Msimbazi Simba lakini kwa vile ni ya Kijani basi wewe ni Yanga so nenda kanyee pale kaunda Stadimu ili ile pitch iwe Kijani sawia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…