Tatus
Member
- Dec 19, 2014
- 31
- 39
Yaani valentine ya mwaka huu nimeshinda ndani tu sikuwa na wa kutoka naye kama wenzangu ngoja nianze mapema kabisa kufanya mipango kwa ajili ya mwakani.
Roho iliniuma mno hasa nilipoona watu wanapita wakiwa wawili wawili wakienda dinner,ngoja nianze mapema kujipanga upya mwakani isinipite tena.
Roho iliniuma mno hasa nilipoona watu wanapita wakiwa wawili wawili wakienda dinner,ngoja nianze mapema kujipanga upya mwakani isinipite tena.