Najionea huruma kwa hatua niliyonayo kwa sasa

Aisee pole
Pray harder na uamini Mungu atakubadilisha maana tayari una nia ya dhati ya kubadilika .
Nakuombea ubadilike kwa Jina la Yesu Kristo.
Amen
 
Kijana mdogo kama wewe miaka 32 tu unataka kuacha kuchakata mbususu ili ufanye nini? Baba yako mwenyewe bado anazichakata we ni nani uache? Cha msingi kua na mademu wachache wanaoeleweka sio hao wa kununua mitaani, wapangie ratiba ambayo haitakuchosha. Lets say kila baada ya siku mbili unakula mmoja kwa afya. Ukisafiri beba mmoja nenda nae.

Maisha ni hayahaya mkuu.
Safi kabisa
 
Habari za wakati huu ndugu zangu.

Ngoja niende moja kwa Moja kwenye maada yangu. Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 32. Nilimaliza chuo miaka kadhaa huko Nyuma. Miaka imekwenda miaka inakimbia, Nilikuwa sina mpango wa kuoa ila sasa hivi wazo kuoa limekuwa likinijia mara kwa mara sana tu.

Kipindi Cha Nyuma huko Nilikuwa ni mtu wa Dini kiasi fulani pamoja na kuwa mtu wa Dini, Nilikuwa nafukuzia mbususu sana tu ila sikuwa na success rate kubwa kwa sababu labda Pesa kipindi nikiwa mwanafunzi zilikuwa za mawazo (Boom).

Anyway, Kwa sasa niko kwenye Mpango wa kuoa na nimemaliza makolokolo mengine na kubakiza siku ya harusi na Mungu akijalia mwezi wa Kumi nitaoa. Ila sasa kwenye hiki kipindi, nimeanza mpango wa kuacha kuchovya chovya hovyo ila kwenye mpango huu najikuta napandwa na Ngenye ni balaa. Mke mtarajiwa anajitahidi sana kwenye kunisaidia hilo kimwili ila sasa ikitokea niko mbali yaani najikuta nakuwa nazo nyingi kiasi kwamba nakuwa kama mtu ambaye sijafanya siku nyingi.

Mwezi uliopita Julai nilipata ki fursa cha kwenda semina mkoa X kwa muda mwezi mzima. Kuna wakati nafululiza siku sita au saba kila siku nachakata Mbususu ila Jambo ambalo silielewi ni kwamba kila nikipiga kile kimoja tu Najisikia kama nimemkosea sana Mchumba wangu na ninakosa hata hamu ya kuendelea na round ya mbili.
Yaani naanza kuwaza sasa hii hali sijui ni nini ??

Naanza kujilaumu tena na kujiona mwenye makosa sana. Asubuhi nimeamka vizuri tu nikiiambia nafsi yangu naacha Umalaya nikasoma na Biblia. Sasa imefika Jioni sasa akili yangu ikanituma toka ukatembee nilikoenda huko nimejikuta nakuwa na Nyege sana mpaka nikaenda kununua dada poa na nilikuwa nimeongea naye usiku mzima ila baada tu ya round ya kwanza ile hali ikaja tena, Nikakosa hamu nikabaki mtu wa kujilaumu. Basi yule dada akaniuliza mbona umekuwa hivyo nikamwambia kichomi kimenibana siwezi kuendelea..! Nikamwambia nimpe nusu ya Gharama tuliyokubaliana mwanzo. Nimebaki room pekee yangu ameondoka najihisi vibaya sana basi tu wakuu.

Natamani niache kuchovya chovya maana hii tabia imenidumbukiza kwenye Majukumu ambayo sikupanga. Natamani niachane na huu Umalaya ndugu zangu ila nashindwa nikisema tu niblock hawa side chicks wote Ngenye zinapanda na mawazo yanabadilika na Unblock na kuwa text na wao si unajua tena wadada wakijua una kazi na kausafiri ni kutekenya.

NINATAKA NIACHE UMALAYA, KWA HII HALI NILIYONAYO MWENYEWE NAJIONEA HURUMA KWA KWELI. NAJIHISI KAMA SIO MIMI VILE
Wee jamaa endelea kujifunga kimaamuzi
 
Hapo kama na mkristo nenda kwny maombi muislam nenda kwny dua bila hvyo ningumu kuepuka, vijana wengi tunapitia hiyoo situation
 
Nashukuru sana ndugu kwa Ushauri huu. Nitamtafuta Mchungaji wa Kanisa ninaloabudu. Ahsante sana
Kama upo dar njoo kwny hospital ya Masister ya Edward ipo karibu na kwa kakobe maombi huwa ni jumamos kuanzia saa 3
 
Wazungu wakitaka kuwamaliza waafrika wasihanhaike sana na magonjwa kama Ebola na Corona yanayoua bila ridhaa . Waboreshe TU ukimwi urudi ule wa miaka ya 1980 mpaka 2000. ,Wahaya wa miaka hiyo wanaukumbuka sana. Korona ilikua Cha mtoto.

Kijana unaonekana baada ya kupata kazi huna jambo lolote la muhimu unaloeaza Kwa Taifa hili.
Unawaza uzinzi TU. Kifupi huna umuhimu wa kuishi Kwa ajili ya wengine.
Lini Afrika itafikia ilipo Japan. ?

Yaani ni Bora uoe na kuacha kama yule bwana wa Timu za mpira kuliko kuzurura mitaani kubadili Wanawake.

Wazazi walitegemea kizazi hiki kilichosoma computer tangu shule ya Msingi kuwa kitaleta mabadiliko ya kiuchumi na kifikra matokeo yake ndio kimekua kizazi Cha ajabu kweri kweri.

Kama wewe ni Muislam basi Jenga nidhamu ya kuswali kama . Utajikita unakua mtu wa maana zaidi. Alfajri Kumi na nusu uko msikitini unaswali, mchana na jioni , Mara mfungo wa Ramadhani, mara ,unasikiliza kawaiza n.k.

Kama ni mkristo tumia muda Mwingi kujifunza Neno la Mungu kwenye You tube Channels na nyimbo za kuabudu zenye upako sio zile za kukata viuno. Sikiliza wahubiri wanaodhibiri Neno la Mungu sio wanaotumia Neno la Mungu kujipatia umaarufu.
Nyimbo za Marehemu Fanuel Sedekia ni nzuri kujenga Imani na kumcha Mungu.
Yupo Mwinjilisti wa Kizazi hiki ! Mwinjilisti Paschal Kasian.
Yupo Pasta Mbagga.
Yupo Mwal. Mwakasege.
Yupo Marehemu Moses Kolola
Yupo Mch. Dr. Kimaro
Yupo Askofu Kakobe na Injili kamili.

Kama wewe ni mpagani au pia muumini wa dini nilizozitaja hapo juu mana ni dini zenye maneno Mengi lakini zimeshindwa kusimamia maadili hasa Kwa watu weusi na ni mfanya Kazi, basi Fanya kazi kwa bidii kubwa na Kwa uaminifu mkubwa. Hapa kazi tuu. Jitolee hata kuwasaidia wengine kifedha mana Inaonekana una pesa zisizo na kazi.
Kazi uliyoipata ni Kwa neema tu ya Mungu, kuna wengi waaminifu na wenye uwezo kuliko wewe wamekosa . Fanya kazi kwa uaminifu mkubwa . Ukitoka kazini waza kuwahi kesho kuwahudumia au kumaliza kazi ulizobakiza. Siku hizi wazinzi wengi na Walevi ni kama kampani Fulani ya kufilisi makampuni au kuiba au rushwa au safari zisizo na tija kwenye kazi za umma ili wapate pesa za kufanya zinaa na ulevi huku nchi au kampuni ikizidi kuporomoka . Watu kama Hawa hawana umuhimu Kwa nchi na Dunia. Ni janga kwenye Dunia kama majanga mengine yalivyo japo hakuna namna ya kuyamaliza zaidi ya kuumiza Dunia .
 
Back
Top Bottom