Najionea huruma kwa hatua niliyonayo kwa sasa

unaposema unajihisi sio wewe, uko sawa kabisa. it's not you! ni roho nyingine inakushawishi yote hayo unayopitia!

nakushauri ukaombewe. nenda kwa mtu unaeamini anaombea watu na wanafanikiwa.

sijajua uko wapi. kama upo dar, nenda kwa mchungaji MWAMPOSA, ukaombewe.

piaa kama kuna wazee wa zamani wa ukoo wako, waeleze poa. waliokutangulia kuzaliwa, wanayajua mengi!

ipo siku utanishukuru, kwa ushauri huu!

Nashukuru sana ndugu kwa Ushauri huu. Nitamtafuta Mchungaji wa Kanisa ninaloabudu. Ahsante sana
 
Hiyo hali ya kawaida kwa yeyote ambae anatarajia kufunga ndoa... Ukichepuka unajiona mwenye dhambi kinoma... Na ukisema uvumilie nyege zinakujaa kama zote unashindwa kujizuia...
USIHOFU PIGA SHOW ZA NJE MAANA HATA UKIINGIA KTK NDOA HIZO SHOW ZA NJE HAZIKWEPEKI TENA ZITAKUA TAM...

Daah sawa ndugu yangu.
 
Hiyo hali ya kawaida kwa yeyote ambae anatarajia kufunga ndoa... Ukichepuka unajiona mwenye dhambi kinoma... Na ukisema uvumilie nyege zinakujaa kama zote unashindwa kujizuia...
USIHOFU PIGA SHOW ZA NJE MAANA HATA UKIINGIA KTK NDOA HIZO SHOW ZA NJE HAZIKWEPEKI TENA ZITAKUA TAM...

Daah sawa ndugu yangu.
 
Mi umeniacha hoi ulivyoandika 'raundi ya mbili'

Unajua inawezekana ukajiona wewe malaya lakini actually ni una nyege za hapa na pale za kulipizia kukosa K kipindi unakula msoto.

Yaani bro inaonyesha pia hauwezi kuongea na hauwezi kumteka mtu ndiyo maana kipindi cha msoto K zilikua zinakupitia mbali na ukaamua mpaka kusoma biblia. Umevuka msoto sasa unafanya malipizi.

Wewe ungekuja kukaa mtaani kwetu hata mwezi tu ili wenge likuishe ukutane na watoto wakali wa Kairuki na wa kienyeji wa palepale ungetulia.

Huu mtaa ninaokaa mademu wengi balaa. Ila nataka niache ila ndio hivyo nashindwa
 
Inaonekana huna hobby..baada ya kazi unakua free tu nakuwaza papuchi....na kampani yako pia mnaongelea mademu tu.

Cha msingi fanya hata mazoezi epuka marafik wapenda ngono.ukiwa mbali na mpenzi wako ongea nae muda mwingi na pia fikiria mazuri yake na mipango yenu.

Nitajitahidi kufanya hivyo Mkuu. Ahsante sana ndugu yangu
 
hilo sio pepo?? manake shoo kama shoo ile ngum huwez pafom kila sku au umezoea nyeto tangu chuo?

Kuwa muwazi tu Nyeto nimepiga sana ila sasa hivi naweza kupiga mara moja kwa baada ya Miezi hata sita kupita. Mara chache sana
 
Kuwa muwazi tu Nyeto nimepiga sana ila sasa hivi naweza kupiga mara moja kwa baada ya Miezi hata sita kupita. Mara chache sana
nkiw na maana uwezo w kupiga nyeto kila siku upo sbb dkika 2 bao 3.. lakin kwa mwanamke pale jasho mzee mpka bao tatu kwa wiki huwez pafom kil siku hata kwa ssi tusiooa hatuwez. sijui labda kam huna stareh nyingine
 
Sali Sana,fanya mazoezi ya kutosha hasa unapokuwa peke yako, tumia muda mwingi kusoma makala mbalimbali km vile za Uchumi, Kilimo, biashara,n.k.Itakusaidia kuondoa hali hiyo taratibu.Mimi mwenyewe Nilikuwa kiwembe hatari,nimekula wake za watu, wanafunzi,madada poa,barmade,n.k.lkn sasa hivi nimepunguza Sana.
 
Baadhi ya watu humu Ndani Jf mna mambo ya hovyo kweli?? Mmekuhukumu hukumu tu badala ya kutoa mchango namna itakayonitoa kwenye hiyo hali.
Mi sijakuhukumu mkuu ila nimekuandikia tu mstari wa kwenye Bible maana umekiri hua unasomaga so unaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom