Najilaumu kwa kupoteza muda mwingi kukusanya nguvu za kupasulia mayai kwa nyundo

Huyu sio General tena bora tuanze kumuita Prof Galadudu wa visa na mikasa.....

Kuna mdau m1 aliwahi kunifuata PM akitaka eti na yeye nimfundishe kuandika visa.......narudia kusema jamani haya ni matukio halisi ninayokumbana nayo japo kwa wengi inakuwa vigumu sana kuamini
 
Mi leo ndo naenda kupata bangi kabisa then narudi

Ni sawa mkuu ilimradi tumeckia yule mheshimiwa anaipigia chapuo ili iruhusiwe pamoja na mirungi huku akisherehesha kwamba wapo na waheshimiwa wengine wanapuliza na wapo mjengoni wana perform vzr tu
 
Yani hapa ndio hujaanzia mbali kama ulivyosema, aisee, sijui ungeanzia mbali ingekuwaje mkuu. Nashauri tulia na mkeo tu.

Ningeanzia mbali mngeshindwa kumaliza kusoma huu uzi maana ungekuwa ni mrefu sana na nimejitahidi mno kufanya summarized
 
Dah general ka dyodyo kako si tatakuwa kashalingana na sindano? Kila siku kanachukunua??? Wewe kiboko.
 
Back
Top Bottom