Najikuta nishachafua shuka!

Najikuta nishachafua shuka!

Lager

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
396
Reaction score
1,093
Waungwana msaada tafadhari hii hali sielewi imenitokea mara mbili sasa kujikuta napizi/kumwaga shahawa nikiwa nimelala!.
Sioti ndoto nyevu najikuta tu nishachafua shuka!.

Hii ni kawaida au tatizo hili??
 
Tafuta demu wa kutooooo...
 
Waungwana msaada tafadhari hii hali sielewi imenitokea mara mbili sasa kujikuta napizi/kumwaga shahawa nikiwa nimelala!.
Sioti ndoto nyevu najikuta tu nishachafua shuka!.

Hii ni kawaida au tatizo hili??
Mmeshafunga shule, kula beki3 wa hapo kwenu akupunguzie mzigo na kiuno kiwe chepesi
 
Yaani mpaka leo kuna vijana hawajui Elimu ya balehe duh!

Lakini ngoja nikusaidie kama itafaa...

-Hilo ni jambo la kawaida usijali na ndiyo njia pekee inayokufanya uendelee kubaki salama (otherwise ungekuwa kichaa au dish kuyumba maana madude hayo yangezalishwa kupitiliza na hayatolewi kwa namna yoyote)

-Kama hujaoa na uwezo unao fanya uoe

-Kama hujaoa na huna uwezo huo basi shiriki sana kazi na mazoezi ya mwili na akili

-Kama wewe ni muumini basi funga sana (swaumu)

Angalizo;
Hayo yote nimeyaandika kwa kuchukulia kuwa wewe ni kijana ambaye sasa unaingia kwenye utu uzima na hujawahi kuwa na mke wala hujihusishi na maswala ya ngono. Kama una sifa tofauti na hizo ndugu yangu subiri wenye elimu tu wanakuja watakupa mwongozo
 
Back
Top Bottom