Najikuta namchukia Mke wangu

Najikuta namchukia Mke wangu

Kwa michango yako humu ndani lazima una matatizo sana kwenye hiyo ndoa. Mimi nilijua uko dogo kama mimi kumbe umeoa, akili yako bado ilikuwa team kimasihara. Sina shaka unamkosea sana mke wako na shutma zake ni sahihi kabisa
 
Wewe ndo mwenye makosa... Kamtake radhi mkeo ili arudishe imani kwako tena, pia uache kuchepuka kumbavu wewe. Ungekuwa hapa ningekuwekelea makofi mazito mazito ili akili yako irudi sawa sawa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Yaani mkuu kabla yakuondoka kuelekea mwanza nilijitaidi kwanza nimuulize kipi anakipenda basi akanambia kuna kiatu anakipenda nikachukua elfu 25k nikaenda nae nikamchagulia na nikamnunulia wax pieces 3 kwa elfu 48k na bado nilimwachia pesa nzuri kwa ajili ya matumizi yote hayo ajue kabisa nampenda lkn bado tu hana imani nami .
Huyo mkeo inaonekana anakupenda sana. Na vituko anavyokufanyia ni matokeo ya yale maovu uliyomfanyia kwa kumsaliti.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa unampenda ungeenda kuchepuka hapo hapo unatunza na SMS? Ulianza mwenyewe kukosa uaminifu mshahara wake ndiyo vumilia tu kama ulivyo shindwa.kuvumilia penzi.la mkeo mpaka ukaenda kufanya uzinzi vumilia na matusi pia, umalaya mnauanza wenyewe matusi yakianza mnaona wanawake ndiyo wakosaji vumilia tu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli sisi wanaume ni wawote,yaani mwanaume ni wa yeyote.
 
Ndiye huyu?
Nilipatwa na changamoto niliondoka mwezi wa 9 mwaka jana , nikamuacha kwenye nyumba ya kupanga , kodi ilivyoisha akahamia kwa bibi yangu alikaa mpk mwezi wa pili , akaondoka zake akasema hawezi kuendelea kuishi kwa bibi yangu ,aliondoka akaelekea kwao.
Nilikuwa situmi pesa sababu nilikuwa katika wakati mgumu sana ila niliamini pale nyumbani hawezikoswa pesa ya matumizi wala sikuwahi kumtafuta , Ila nilivyorudi namfata kwao nakuta kaolewa tena kaenda na mwanangu imeniuma sana.
Na mke wangu sitaki kumpoteza nifanyeje jmn maana yule jamaa kamuoa na mimi bado namhitaji mke wangu.
 
Yawezekana ila mbona ananifanyia wivu ? Siangekaa kwa kutulia tu nakuacha kunihukumu.
Ndio tabia zao hao, hapo ni kama anatafuta sababu mtibuane halafu akuambie A to Z...
 
Yaani mkuu kabla yakuondoka kuelekea mwanza nilijitaidi kwanza nimuulize kipi anakipenda basi akanambia kuna kiatu anakipenda nikachukua elfu 25k nikaenda nae nikamchagulia na nikamnunulia wax pieces 3 kwa elfu 48k na bado nilimwachia pesa nzuri kwa ajili ya matumizi yote hayo ajue kabisa nampenda lkn bado tu hana imani nami .
Kila usku fanya kumpigia video call fanya kumnunulia maua fanya kumletea zawadi,ukiwa free kaa nae nyumbani in romantic way,kupika pikeni wote simu yako ondoa password namba ya simu sajili mpya.kisha kila saa ukiwa home umkule.
 
Back
Top Bottom