Najikuta namchukia Mke wangu

Najikuta namchukia Mke wangu

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,936
Reaction score
3,054
Ndugu husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu.

Mimi ni kijana (27) na nimeoa. Nina mke wangu nimpendaye katika maisha yangu ila kwa anavyonishutuma mimi ni mzinzi, mara malaya , siaminiki, kazi nampa madeni kibao lakini bado naendelea kumsaliti , kazi kuwa na watoto wa nje [emoji22] yaani inafikia hatua nakuwa nampuuza tu na roho yangu inakuwa inatamani niachane naye tu si kwamba simpendi, rahasha nampenda sana na upendo wangu kwake huwa haujifichi.

Katika enzi ambazo sijaoa kweli nilikuwa na mabinti wengi ila nilivyooa nilianza kuwaacha kwa kuwaambia nimeoa, ila wengine wakawa hawaamini , na mwingine akasema hayuko tayari anikose bora aendelee kuwa nami na haijalishi nimeoa , nami roho yangu nikaifanya kuwa ngumu kweli nikawa naye kwenye mahusiano haswa kwenye handing over ila siku moja nilimla vyombo nakurudi nyumbani , niliporudi nilienda kuoga wakati naoga nimejisahau kama password wife anaijua , akachukua simu akaangalia sms yule mchepuko wangu anavyonishukuru kwa penzi nililompa. Nilikuta mke wangu analia huku akidondosha machozi.

Nilivyofika alinitukana wee , nikamuomba nisamehe yakaisha ila kwa sasa niko mbali naye yeye yuko nyumbani nami niko mwanza yaani kila kukicha lazima tukwazane haswa kwa kunishutuma mara sitaki kuchart nae , yaani sielewi kabisa inafikia stage naamua kuchart nae kinyonge, na nampenda sana ila sitaki anipande sana kichwani , kichwa changu nakijua vema.

Hivi kwa tulipofikia kila kuchapo matusi si tutaachana tu maana mimi hasira zangu najitaidi kuzicontrol lkn yeye anakuwa ananifanyia visa kuwa niko na wanawake wengine .
 
Ungekuwa unampenda ungeenda kuchepuka hapo hapo unatunza na SMS? Ulianza mwenyewe kukosa uaminifu mshahara wake ndiyo vumilia tu kama ulivyo shindwa.kuvumilia penzi.la mkeo mpaka ukaenda kufanya uzinzi vumilia na matusi pia, umalaya mnauanza wenyewe matusi yakianza mnaona wanawake ndiyo wakosaji vumilia tu
 
Ungekuwa unampenda ungeenda kuchepuka hapo hapo unatunza na SMS? Ulianza mwenyewe kukosa uaminifu mshahara wake ndiyo vumilia tu kama ulivyo shindwa.kuvumilia penzi.la mkeo mpaka ukaenda kufanya uzinzi vumilia na matusi pia, umalaya mnauanza wenyewe matusi yakianza mnaona wanawake ndiyo wakosaji vumilia tu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyewe najutia kwa niliyoyafanya ila kwa sasa nishaacha kabisa sema hana imani nami .
 
Mchape na kipande cha kanga
Yaani mkuu kabla yakuondoka kuelekea mwanza nilijitaidi kwanza nimuulize kipi anakipenda basi akanambia kuna kiatu anakipenda nikachukua elfu 25k nikaenda nae nikamchagulia na nikamnunulia wax pieces 3 kwa elfu 48k na bado nilimwachia pesa nzuri kwa ajili ya matumizi yote hayo ajue kabisa nampenda lkn bado tu hana imani nami .
 
Ndugu husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu.
Mimi ni kijana (27) na nimeoa.
Nina mke wangu nimpendaye katika maisha yangu ila kwa anavyonishutuma mimi ni mzinzi, mara malaya , siaminiki, kazi nampa madeni kibao lakini bado naendelea kumsaliti , kazi kuwa na watoto wa nje [emoji22] yaani inafikia hatua nakuwa nampuuza tu na roho yangu inakuwa inatamani niachane naye tu si kwamba simpendi, rahasha nampenda sana na upendo wangu kwake huwa haujifichi , katika enzi ambazo sijaoa kweli nilikuwa na mabinti wengi ila nilivyooa nilianza kuwaacha kwa kuwaambia nimeoa, ila wengine wakawa hawaamini , na mwingine akasema hayuko tayari anikose bora aendelee kuwa nami na haijalishi nimeoa , nami roho yangu nikaifanya kuwa ngumu kweli nikawa naye kwenye mahusiano haswa kwenye handing over ila siku moja nilimla vyombo nakurudi nyumbani , niliporudi nilienda kuoga wakati naoga nimejisahau kama password wife anaijua , akachukua simu akaangalia sms yule mchepuko wangu anavyonishukuru kwa penzi nililompa. Nilikuta mke wangu analia huku akidondosha machozi.
Nilivyofika alinitukana wee , nikamuomba nisamehe yakaisha .
Ila kwa sasa niko mbali naye yeye yuko nyumbani nami niko mwanza yaani kila kukicha lazima tukwazane haswa kwa kunishutuma mara sitaki kuchart nae , yaani sielewi kabisa inafikia stage naamua kuchart nae kinyonge, na nampenda sana ila sitaki anipande sana kichwani , kichwa changu nakijua vema.

Hivi kwa tulipofikia kila kuchapo matusi si tutaachana tu maana mimi hasira zangu najitaidi kuzicontrol lkn yeye anakuwa ananifanyia visa kuwa niko na wanawake wengine .
Mpe talaka
 
Nina kila sababu ya kuamini kuwa mkeo kapata wa kumkaza
 
Back
Top Bottom