Hivi kweli wewe ni engineer au engine kwa upande wa chadema. Ulichoongea hapa unachoona wewe kama engineer na siyo engine ya chadema ni kipi cha maana. Kunywa Maji ukalale ukue ukasomee uingeneer na siyo kuwa engine ya kutumika. Upo engine
Unaongea Kwa ufinyu tu wa mtazamo.. Sidhani kama nimemwongelea Zitto, naongelea utayari Wa Chama kumchukulia hatua Za kinidhamu mtu wa Kada yoyote, Na usijifinyange kimawazo ha hili linaloendelea mahakamani lakini jenga fikra Kwenye wigo Mpana kidogo ukianzia Kwa kuwavua uanachama madiwani, viongozi wa Bavicha Na Sasa wako wanawajibishana makao makuu..Bihagaze ona aibu
chadema ina katiba yake, kuwa kama mtu hataridhika na maamuzi ya kamati kuu , anakata rufaa baraza kuu ...yote within chadema
zitto kavuliwa uongozi na kuwa punished kabla hajasikilizwa
ndio jaji anasema "You can not jail him first and hear him later" - justice Utamwa
zitto akakata rufaa baraza kuu la chadema, rufaa ikapigwa teke, kisa asikilizwe kwanza na kikao kilichomhukumu
KATIBA HII WALIIWEKA WENYEWE NA WANAOIBOMOA NI WENYEWE
from no where cjui ndio uko rohoni unasema UNAWAKUBALI CHADEMA na usomi wako wote
acha hizo FOE member, tena ukae kimya umeishaharibu
kesi ile zitto alishinda kabla haijaanza kusikilizwa kwa tuliokuwa na akili zetu
sasa unaikubali kivipi huku iko so clear kuna matatizo ya uongozi
Mtu anavuliwa Vyeo kwa Makosa 11 ambayo kayafanya siku 11 mfululizo au ndani ya masaa 24???
Kama makosa yote ni ya kweli na hayakufanywa siku moja huoni kwamba mfuo mzima ndani ya CDM umeshindwa kufanya kazi??
Unafanya kosa la kwanza mpaka la kumi wanakutazama tu then unafanya la 11 Chama chote ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti na Katibu Mwanasheria mkuu na Vingunge wengie wanakujia juu kaa Moshi wa kifuu!!!!!!!
Mnaorodhesha kosa la kwanza mpaka la 11 na kuuliza kwa nini tusikufukuze uanachama. Sijui ndo katiba nasema hivyo??
Unajua sisis wengine tunajuazaidi coefficient of expansion of copper kuliko kifungu rahisi ndani ya katiba ya CDM.
Ni kama vile mtu kawashitua walikuwa wamelalala?? Au WameFABRICATE???
Huyu naye kaandika watu tusome..! Haya..!

Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.
Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.
Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .
Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!
Afadhali yako wewe umeiona ile njia nyembamba ukaifata! Apitae njia hiyo hata awe mjinga kiasi gani hawezi potea, atafika tu safari yake.Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.
Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.
Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .
Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!
machizi mpo wengi sana Bavicha yaani uanikubali wakati inakufa tafuta tiba!
Hakuna kulindana ndani ya Chadema
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.
Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.
Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .
Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!
Kaanzishe thraed nyengine kuhusu hilo unalolitaka, nami nitakuja kukutajia.
Mtu anavuliwa Vyeo kwa Makosa 11 ambayo kayafanya siku 11 mfululizo au ndani ya masaa 24???
Kama makosa yote ni ya kweli na hayakufanywa siku moja huoni kwamba mfuo mzima ndani ya CDM umeshindwa kufanya kazi??
Unafanya kosa la kwanza mpaka la kumi wanakutazama tu then unafanya la 11 Chama chote ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti na Katibu Mwanasheria mkuu na Vingunge wengie wanakujia juu kaa Moshi wa kifuu!!!!!!!
Mnaorodhesha kosa la kwanza mpaka la 11 na kuuliza kwa nini tusikufukuze uanachama. Sijui ndo katiba nasema hivyo??
Unajua sisis wengine tunajuazaidi coefficient of expansion of copper kuliko kifungu rahisi ndani ya katiba ya CDM.
Ni kama vile mtu kawashitua walikuwa wamelalala?? Au WameFABRICATE???
Mkuu ni lazma ukubali kuwa si kila anyetoa mawazo yasiyoifurahisha chadema ni CCm.Ndibalema mbona unaweweseka kutetea kisichokubalika? Wewe CCM ya Chadema yanakuhusu nini au mission yenu imeshindikana. Chadema mtajaribu kila mbinu lakini mjue iko mioyoni mwa watu. Sasa kala hela zenu na mission kashindwa sijui mtajaribu nini tena
Chadema Mwendo uleule. Waliwauwa akina NCCR na CUF, ila hapa wamegonga kisiki na kuangukia Midenge.